Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Sarri alianza Coaching kama part time....Unaweza kuifanya hobby ikawa profession ndio.....Ila tatizo linakuja kwenye malipo....mshahara was Sari unaufahamu mkuu?....kawaulize makocha was hapa bongo uone wanavyoishi kwa tabu has a hawa wazawa,wagen wengine waliondoka wamerushwa fedha zao mpk wameenda kudai FIFA,......ila nachokisema na nakikataa ni hii mentality ya kusema ualimu ni wito tu hivyo hata wasipokujali wewe uendelee kuteseka na wengine waneemekee kwako na ufe ukiwa masikini na huku hujatimiza ndoto zako...ndio maana watu wanaamua kumove on mkuu
Ukifanya unachokipenda unaweza pia ukawa self employed au katika fani ile ile au ukatengeneza stream nyingine ya pesa kutumia ualimu wako; ile knowledge unayowapa watoto ukaifanya practically.., kama unafundisha kilimo ukawa na shamba darasa.., kama unafundisha masomo fulani ukatengeneza vitabu, electronic media n.k. kuwauzia wanafunzi n.k
Haya mambo ya kufanya kazi ili first and far most upate pesa ndio yanafanya waalimu wasiende extra mile na kuwa wabunifu.., wanafanya kile tu mtaala unasema au hata kile hawafanyi ili mradi mshahara wamepata.., ingekuwa wana wito wa kazi wangekuwa hawalali wanaangalia ni vipi wanaweza kutumia teknolojia kuwafundisha wanafunzi wazito.., na kila kukicha wana-update masomo yao kulingana na current affairs.., na kama mwalimu mzuri mzuri tu watu watanunua hizo bidhaa.., na moja ya investment kubwa kwa wazazi ni elimu kwa watoto wao