Mimi ni mwalimu, nje ya kazi yangu nifanye kitu gani nitoke kimaisha?

Mimi ni mwalimu, nje ya kazi yangu nifanye kitu gani nitoke kimaisha?

Sorry!! Unalevel Gani!?Yani umesoma mpaka level ya chuo huoni fursa huko ulipo!? Au unataka kulifurahusha genge!?
Mimi siamini kama unaweza kuwa umesoma na kulivyo na mitandao ya jamii Halafu ushindwe kujua ufanye Nini!? Nafikiri unalengo la kuudhalilisha walimu!
Ivi una akili timamu? Apo kadhalilisha vipi Sasa ualimu
 
Kama upo milimani.
-Lima mazao ya mbogamboga.
  • Hakikisha unaweka full scale shamba za mbogamboga.
  • wakati wa mavuno usikubali kuuza rejareja. Cheki soko dsm lipo wapo mawakala Kwa kuanzia. Hii inavunwa inapakiwa vizuri hutakosa million zako kadhaa.

Anza ufugaji, fungua mashine ya kusaga na kukoboa.

Kama ni ukanda wa tambarale, Lima mahindi, mashine ya kusaga na kukoboa ni yako mahindi ni yako.

Anza kuuza unga na mapumba, fungua duka la dawa za mifugo na mazao. Dawa utapata humo utauza pia, chukua graduate veterinary officers wengi mtaani, muajiri.

Sasa una.
Shamba.
Mifugo.
Kiwanda(machine)
Nk.

Kazi usiache.

Mpwayungu Village analaana usifuate
 

Attachments

  • FB_IMG_1681701524762.jpg
    FB_IMG_1681701524762.jpg
    20.4 KB · Views: 1
Ukiwa kazini jitahidi kudaka vile vipesa wanavyopewa wanafunzi, kwa kuwazuia vitu mbali mbali. Najua haitakiwi Ila mwalimu atajikwamuaje! Atauza chaki? Usiogope, hata maandazi wauzie wanafunzi na waalimu. Biashara yoyote ambayo itaingiza chochote mbali na mshahara.
 
Back
Top Bottom