Mimi ni mwalimu, nje ya kazi yangu nifanye kitu gani nitoke kimaisha?

Ivi una akili timamu? Apo kadhalilisha vipi Sasa ualimu
 
Kama upo milimani.
-Lima mazao ya mbogamboga.
  • Hakikisha unaweka full scale shamba za mbogamboga.
  • wakati wa mavuno usikubali kuuza rejareja. Cheki soko dsm lipo wapo mawakala Kwa kuanzia. Hii inavunwa inapakiwa vizuri hutakosa million zako kadhaa.

Anza ufugaji, fungua mashine ya kusaga na kukoboa.

Kama ni ukanda wa tambarale, Lima mahindi, mashine ya kusaga na kukoboa ni yako mahindi ni yako.

Anza kuuza unga na mapumba, fungua duka la dawa za mifugo na mazao. Dawa utapata humo utauza pia, chukua graduate veterinary officers wengi mtaani, muajiri.

Sasa una.
Shamba.
Mifugo.
Kiwanda(machine)
Nk.

Kazi usiache.

Mpwayungu Village analaana usifuate
 
Ukiwa kazini jitahidi kudaka vile vipesa wanavyopewa wanafunzi, kwa kuwazuia vitu mbali mbali. Najua haitakiwi Ila mwalimu atajikwamuaje! Atauza chaki? Usiogope, hata maandazi wauzie wanafunzi na waalimu. Biashara yoyote ambayo itaingiza chochote mbali na mshahara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…