Mimi ni mwalimu wa science (Physics), ninaombeni kazi ndugu zangu

Mimi ni mwalimu wa science (Physics), ninaombeni kazi ndugu zangu

Mtu na nusu

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2020
Posts
680
Reaction score
1,306
Habari zenu ndugu zangu.

kama nilivyojitambulisha mimi ni mhitimu wa shahada ya ualimu wa somo la physics mwaka 2022 na G.P.A ya 3.7 .

Nina uwezo mzuri wa kufundisha vidato vyote (form 1 mpaka form 6) na vyuo vya kati pia.

Nimefundisha shule kadhaa za sekondari kabla ya kuingia mazima kwenye ujasirimali ambako pameenda isivyo.

Ninaombeni kazi ndugu zangu

Kwa sasa nipo kibaigwa

0778117626
 
Kweli wee mtu na nusu..
Umepiga yale mahesabu yote ya numerical analysis, schrondigers equations, eistein's relativity theory na bado nchi inakuchukulia poa.
Kweli tz sie nyoko
 
Habari zenu ndugu zangu.

kama nilivyojitambulisha mimi ni mhitimu wa shahada ya ualimu wa somo la physics mwaka 2022 na G.P.A ya 3.7 .

Nina uwezo mzuri wa kufundisha vidato vyote (form 1 mpaka form 6) na vyuo vya kati pia.

Nimefundisha shule kadhaa za sekondari kabla ya kuingia mazima kwenye ujasirimali ambako pameenda isivyo.

Ninaombeni kazi ndugu zangu

Kwa sasa nipo kibaigwa

0778117626
Hydrolic compression inafanyaje kazi?
 
Hydraulic compression inafanya kazi kwa kutumia shinikizo la kioevu (mafuta au maji) kupitisha nguvu katika mfumo wa hydraulic. Kwa kutumia kanuni ya Pascal, shinikizo linapoongezwa katika sehemu moja ya mfumo, linaenea kwa usawa na kusababisha compression ya vitu au sehemu zinazohitaji nguvu kubwa. Mfumo huu unatumika sana katika viwanda, ujenzi, na magari kwa sababu ya ufanisi wake, udhibiti wa nguvu, na uwezo wa kutoa nguvu kubwa kwa matumizi ya kifaa kidogo.
 
sijaelewa unamaanisha nini make kama ni ujasiriamali nimeufanya lakini hakuna nilichoambulia
Namanisha ukitoka shule ujiajiri badala ya kutegemea ajira serikalini.tuna mfumo mbovu wa elimu ambayo haiwezi kumfanya mwanafunz kujitegemea badala yake anasubiri kuajiriwa.NDYO MANA WAHITIMU WENG NI BODABODA MTAANI NA MAMA LISHE NA WAUZA GONGO.elimu waliyopata haina msaada
 
Sawa
Nifatilie

Kwanza

Physics is a branch of science that deals with the study of matter, energy, and the fundamental forces of nature. It explores how things work in the universe, from the smallest particles to the largest structures. Physics can be divided into several major branches, each focusing on different aspects of physical phenomena. Here are the main branches of physics:

1. Classical Mechanics
- Definition: Classical mechanics is the study of the motion of bodies under the influence of forces. It deals with objects that are much larger than atomic particles and moves at speeds much less than the speed of light.
- Key Topics:
- Newton's Laws of Motion
- Kinematics (study of motion)
- Dynamics (forces and their effects on motion)
- Statics (forces in equilibrium)
- Fluid mechanics
- Rigid body mechanics
- Applications: Engineering, construction, vehicle motion, and most everyday activities.

2. .Quantum Mechanics
- Definition: Quantum mechanics is the branch of physics that deals with the behavior of matter and energy at very small scales, typically at the level of atoms and subatomic particles.
- Key Topics:
- Wave-particle duality
- Uncertainty principle (Heisenberg)
- Quantum entanglement
- Quantum tunneling
Can you mentions the branches of phyics and their importance in our daily life. Kumbuka mimi ni la saba D.
 
Back
Top Bottom