Mimi ni mwalimu wa science (Physics), ninaombeni kazi ndugu zangu

Mimi ni mwalimu wa science (Physics), ninaombeni kazi ndugu zangu

Kwanini mbinguni kwa blueee
Anga kuwa bluu ni matokeo ya kitu kinachoitwa Rayleigh scattering, ambapo blue inatandazwa zaidi na molekuli za hewa kwenye anga ikilinganishwa na rangi nyingine za mwanga. Hii inafanya anga kuwa buluu kwa macho yetu, hasa wakati wa mchana
 
Nielekeze

Rayleigh scattering ni mchakato ambapo molekuli za hewa (kama nitrogen na oxygen) zinachukua na kutawanya mwanga wa jua. Lakini, rangi ya blue inatandazwa zaidi kuliko rangi nyingine. Hii inatokea kwa sababu mwanga wa blue una urefu wa mawimbi mfupi ( wavelength) na hivyo ni rahisi kutawanywa kuliko rangi za mwanga zenye urefu wa mawimbi marefu kama nyekundu ( Red) .

Mkuu ahsante sana sana sana
 
asante

Hiyo inaitwa sonic boom

Sauti ya mlipuko/ Sonic boom inatokea wakati kitu kinaposafiri kwa kasi ya zaidi ya speed ya sauti katika anga. Kwa ufupi, sonic boom ni sauti kubwa inayosikika wakati kitu kinapovunja kizuizi cha sauti. Hii inatokea kwa sababu ya mabadiliko makubwa katika shinikizo la hewa (hewa kushindwa kusukuma) wakati kitu kinapopita kwa kasi kubwa
Ok....na hivi kwa nini matairi ya gari za kawaida zina tread lakini magali ya formula one hayana na zinakimbia kweli kweli?
 
Back
Top Bottom