Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Wee jamaa why is bluue the cloud
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ni father of motionNewton
Hapana ni father wa phsy mkuu...Huyo ni father of motion
Rayleigh scatteringWee jamaa why is bluue the cloud
Anga kuwa bluu ni matokeo ya kitu kinachoitwa Rayleigh scattering, ambapo blue inatandazwa zaidi na molekuli za hewa kwenye anga ikilinganishwa na rangi nyingine za mwanga. Hii inafanya anga kuwa buluu kwa macho yetu, hasa wakati wa mchanaKwanini mbinguni kwa blueee
NielekezeRayleigh scattering
Umetisha mkuuAnga kuwa bluu ni matokeo ya kitu kinachoitwa Rayleigh scattering, ambapo blue inatandazwa zaidi na molekuli za hewa kwenye anga ikilinganishwa na rangi nyingine za mwanga. Hii inafanya anga kuwa buluu kwa macho yetu, hasa wakati wa mchana
Acha utoto na upuuzi kwenye mada serious. Nenda Itongoitale hukoCan you mentions the branches of phyics and their importance in our daily life. Kumbuka mimi ni la saba D.
😀😀😀😀😀😀😀😀😀 Ila kuna watu natural ni wakorofi....Acha utoto na upuuzi kwenye mada serious. Nenda Itongoitale huko
Nielekeze
Nielekeze
How does black matter escape black hole?Nakarbisha maswali pia
Sijui...nipe jibuMkuu yaani hapa mi huwa mda wote nawZa phy tuu..
Unajua kwa sababu gani angani kwa blue
Mkuu ahsante sana sana sanaRayleigh scattering ni mchakato ambapo molekuli za hewa (kama nitrogen na oxygen) zinachukua na kutawanya mwanga wa jua. Lakini, rangi ya blue inatandazwa zaidi kuliko rangi nyingine. Hii inatokea kwa sababu mwanga wa blue una urefu wa mawimbi mfupi ( wavelength) na hivyo ni rahisi kutawanywa kuliko rangi za mwanga zenye urefu wa mawimbi marefu kama nyekundu ( Red) .
Rangi ya blue kutoka kwenye bahari inaakisiwa kwenye mawingu ...Sijui...nipe jibu
Ok....na hivi kwa nini matairi ya gari za kawaida zina tread lakini magali ya formula one hayana na zinakimbia kweli kweli?asante
Hiyo inaitwa sonic boom
Sauti ya mlipuko/ Sonic boom inatokea wakati kitu kinaposafiri kwa kasi ya zaidi ya speed ya sauti katika anga. Kwa ufupi, sonic boom ni sauti kubwa inayosikika wakati kitu kinapovunja kizuizi cha sauti. Hii inatokea kwa sababu ya mabadiliko makubwa katika shinikizo la hewa (hewa kushindwa kusukuma) wakati kitu kinapopita kwa kasi kubwa