Mimi ni mwalimu wa science (Physics), ninaombeni kazi ndugu zangu

Mimi ni mwalimu wa science (Physics), ninaombeni kazi ndugu zangu

Habari zenu ndugu zangu.

kama nilivyojitambulisha mimi ni mhitimu wa shahada ya ualimu wa somo la physics mwaka 2022 na G.P.A ya 3.7 .

Nina uwezo mzuri wa kufundisha vidato vyote (form 1 mpaka form 6) na vyuo vya kati pia.

Nimefundisha shule kadhaa za sekondari kabla ya kuingia mazima kwenye ujasirimali ambako pameenda isivyo.

Ninaombeni kazi ndugu zangu

Kwa sasa nipo kibaigwa

0778117626
Nakucheki inbox
 
jamaa ametisha humo theory yake imekaa kwenye mifano ambayo ni kama halisi tu
Kwamba
muda na nafasi si vitu vya kudumu, Badala yake, vinategemea mwendo wa mtazamaji, einstein alitisha sana
Hapa alimaanisha kwamba muda unabadilika kulingana na kasi ya mtazamaji (kwa mfano, wakati unavyoenda kwa kasi kubwa, muda nao unazidi kwenda taratibu, na mazingira yabadilika kulingana na mtazamaji pia.
- Einstein alikubali kuwa mwanga ni kasi ya juu kabisa, na hakuna kitu kinachoweza kusafiri kwa kasi kubwa kuliko mwanga.
 
Back
Top Bottom