Mtu na nusu
JF-Expert Member
- Jan 9, 2020
- 680
- 1,306
- Thread starter
- #101
Asante
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inamaana ndo mnamfanyia usaili,mtamuajiri??au mnataka kujikumbushia tu.,ningekuwa mimi nisingewajibu.Mfuate alipo ulipie ada mkuu.
Labda kama ni interview umeanzia hapa mimi nadhani siyo poa.
Labda ulekebishe hicho kilugha chako.Hapa mwalim umefeli, ni hivi :
maji ukiyachemsha una lower it is surface tensions hivyo ni rahisi sana kukolea sabuni na kutoa mafuta haraka tofauti na maji ya kawaida.
ElectromagnetismCan you mentions the branches of phyics and their importance in our daily life. Kumbuka mimi ni la saba D.
Nadhani ulitaka kusema kuwa magari ya formula one yana centre of Gravity 'ndogo sana'. Yaani urefu toka ardhini mpaka uguse gari ni pafupi sana ukilinganisha na magari mengine ya kawaida. Hence, the shorter the centre of Gravity, the stable of the vehicle becomes.Central of gravity....
Umuoe? We jamaa wewePole sana...nchi hii haithamini watu wa science alafu wanataka kuwa dona kantriii [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Watu kama wewe mlipaswa moment mpo chuo tuu tayari kazi mnayo.
Njoo nikuoe bodaboda hapa kitaa upige mishe anagalu ten kwa siku hukosi
Lkn sio kiivyo,ni we mwenyewe tu uamue,,Hata hizo kazi siku hizi zinahitaji connection mkuu
Can you mentions the branches of phyics and their importance in our daily life. Kumbuka mimi ni la saba D
Nipe connection ya hiyo kaziLkn sio kiivyo,ni we mwenyewe tu uamue,,
We uko wapi kwaniNipe connection ya hiyo kazi
Can you mentions the branches of phyics and their importance in our daily life. Kumbuka
Mkuu nakuombea upate kazi uutumie ujuzi wako kuendeleza nchi. Mungu asikie maombi yangu. Amen.Habari zenu ndugu zangu.
kama nilivyojitambulisha mimi ni mhitimu wa shahada ya ualimu wa somo la physics mwaka 2022 na G.P.A ya 3.7 .
Nina uwezo mzuri wa kufundisha vidato vyote (form 1 mpaka form 6) na vyuo vya kati pia.
Nimefundisha shule kadhaa za sekondari kabla ya kuingia mazima kwenye ujasirimali ambako pameenda isivyo.
Ninaombeni kazi ndugu zangu
Kwa sasa nipo kibaigwa
0778117626
Mungu akujalie sana nina mdogo wangu wa kike yeye ni mwl wa pcm kuko bukoba kama hujaoa nitawauganisha muyaweke sawaElectromagnetism
Definition: Electromagnetism is the study of electric fields, magnetic fields, and how they interact with matter. It also involves the study of light as an electromagnetic wave.
- Key Topics:
- Coulomb's Law (electric force)
- Gauss's Law, Ampère's Law, and Faraday's Law
- Magnetic fields and electromagnetic waves
- Maxwell's equations (unifying electricity, magnetism, and optics)
- Electromagnetic spectrum
- Applications: Electric circuits, wireless communication, motors, generators, and light-based technologies like lasers.
6. Optics
- Definition: Optics is the study of light and its interactions with matter, including reflection, refraction, diffraction, and dispersion.
GPA 3.7 ujue😀Kweli wee mtu na nusu..
Umepiga yale mahesabu yote ya numerical analysis, schrondigers equations, eistein's relativity theory na bado nchi inakuchukulia poa.
Kweli tz sie nyoko
Mkuu naona umeanza kumpa kijana written interview. Unataka kumpa ajira nini?Can you mentions the branches of phyics and their importance in our daily life. Kumbuka mimi ni la saba D.
MKUU swali langu litasadia watu kujua njisi alivyo kitabia na kitaaluma kizuri mkuu amewin hii written interview hafu anaonekana ni mwl mpole sana.Mkuu naona umeanza kumpa kijana written interview. Unataka kumpa ajira nini?
Umehitimu 2022 Ila mpaka sasa umeshafundisha shule kadhaa!! Ukaingia mazima kwenye biashara nako mambo hayajaenda vzr ndani ya hii miaka miwili??Habari zenu ndugu zangu.
kama nilivyojitambulisha mimi ni mhitimu wa shahada ya ualimu wa somo la physics mwaka 2022 na G.P.A ya 3.7 .
Nina uwezo mzuri wa kufundisha vidato vyote (form 1 mpaka form 6) na vyuo vya kati pia.
Nimefundisha shule kadhaa za sekondari kabla ya kuingia mazima kwenye ujasirimali ambako pameenda isivyo.
Ninaombeni kazi ndugu zangu
Kwa sasa nipo kibaigwa
0778117626
AminaMkuu nakuombea upate kazi uutumie ujuzi wako kuendeleza nchi. Mungu asikie maombi yangu. Amen.