Mimi ni mwalimu wa science (Physics), ninaombeni kazi ndugu zangu

Mimi ni mwalimu wa science (Physics), ninaombeni kazi ndugu zangu

Pole sana...nchi hii haithamini watu wa science alafu wanataka kuwa dona kantriii 🤣🤣🤣
Watu kama wewe mlipaswa moment mpo chuo tuu tayari kazi mnayo.
Njoo nikuoe bodaboda hapa kitaa upige mishe anagalu ten kwa siku hukosi
Tatzo umeshazoea mambo ya mbususu,simu yako imehifadhi
 
Its painful sana,mi namwonea wivu pia,mi niliyajaribu hayo masomo lkn siku fanikiwa at high level,.,namba ilikuwa tamu sana,lkn najiuliza au jamaa kuna mahala alijikwaa nini!!!,maana naona kuna mengi angeweza fanya tokana na haya masomo kuwa hot cake katika nyanja nyingi,na kwenye uhasibu watu hawa huwa wanapeta sana kwasababu yakujua nambazi.
Huyu bado ni tunu,sema ni mvivu kama mimi kutafuta ajira au kufanya kazi

Hapaswi kutafuta kazi jf
 
Habari zenu ndugu zangu.

kama nilivyojitambulisha mimi ni mhitimu wa shahada ya ualimu wa somo la physics mwaka 2022 na G.P.A ya 3.7 .

Nina uwezo mzuri wa kufundisha vidato vyote (form 1 mpaka form 6) na vyuo vya kati pia.

Nimefundisha shule kadhaa za sekondari kabla ya kuingia mazima kwenye ujasirimali ambako pameenda isivyo.

Ninaombeni kazi ndugu zangu

Kwa sasa nipo kibaigwa

0778117626
Ungeaujust ikawa 3.8 ungejiongezea vigezo vya kuajirika

Kila la kheri
 
Nadhani ulitaka kusema kuwa magari ya formula one yana centre of Gravity 'ndogo sana'. Yaani urefu toka ardhini mpaka uguse gari ni pafupi sana ukilinganisha na magari mengine ya kawaida. Hence, the shorter the centre of Gravity, the stable of the vehicle becomes.
Safi mkuu...
 
Habari zenu ndugu zangu.

kama nilivyojitambulisha mimi ni mhitimu wa shahada ya ualimu wa somo la physics mwaka 2022 na G.P.A ya 3.7 .

Nina uwezo mzuri wa kufundisha vidato vyote (form 1 mpaka form 6) na vyuo vya kati pia.

Nimefundisha shule kadhaa za sekondari kabla ya kuingia mazima kwenye ujasirimali ambako pameenda isivyo.

Ninaombeni kazi ndugu zangu

Kwa sasa nipo kibaigwa

0778117626
UMESOMA CHUO GANI?
UALIMU WA PHYSICS NA SOMO GANI LINGINE?
 
Back
Top Bottom