Mtu na nusu
JF-Expert Member
- Jan 9, 2020
- 680
- 1,306
- Thread starter
- #121
Niko Dodoma mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kupoteza muda na kulialia! Hujaijua thamani yako… hivi unajua kwamba yale mashule ya washua kule Upanga wanawataka sana waalimu wa Science ?! Tena hautachukua muda mrefu utakula mkataba pale na angalau mambo yataanza kuwa sawa…, anza kwenda SHAABAN ROBERT peleka maombi na uombe appointment na Director au HR au Principal, toka hapo Nenda Aga-khan onana na watu hao ukiwa na maombi yako na C.V kisha maliza na AL-MUNTAZIR.
Usiache kupita na pale IST elementary school wakupe muongozo wa kupeleka maombi…, maana wale hawaingiliwi kichwa kichwa.
Hutakosa kazi shule mojawapo amini amini nakwambia. On your spare-time uende na Feza pia.
Mchambuzi wa Maisha ya watu umeshawasiliUmehitimu 2022 Ila mpaka sasa umeshafundisha shule kadhaa!! Ukaingia mazima kwenye biashara nako mambo hayajaenda vzr ndani ya hii miaka miwili??
Yani toka 2022 mpaka 2024 umeshafundisha, umeshafanya biashara na sasa unatafuta kazi.??
Nafikili TATIZO SIO KAZI BALI WEWE NDIO .
Hatari sii mchezo.Kusoma kozi ngumu alafu maisha yanakataa kukuunga mkono, what a painful result mkuu
Kama una background nzuri economically + watu wa kuwategemea hautanielewa ila kama wewe ndie top perfomer na first born kwenu, utanielewa vizuriUmehitimu 2022 Ila mpaka sasa umeshafundisha shule kadhaa!! Ukaingia mazima kwenye biashara nako mambo hayajaenda vzr ndani ya hii miaka miwili??
Yani toka 2022 mpaka 2024 umeshafundisha, umeshafanya biashara na sasa unatafuta kazi.??
Nafikili TATIZO SIO KAZI BALI WEWE NDIO .
12. Condensed Matter PhysicsCan you mentions the branches of phyics and their importance in our daily life. Kumbuka mimi ni la saba D.
AiseeNina uwezo mzuri wa kufundisha vidato vyote (form 1 mpaka form 6) na vyuo vya kati pia.
Sasa kama una uwezo mzuri wa kufundisha physics na ulishafundisha shule kadhaa, kwanini usirudi huko huko kwenye shule husika maana wanakujua?!!Nimefundisha shule kadhaa za sekondari kabla ya kuingia mazima kwenye ujasirimali ambako pameenda isivyo.
mkuu Mnafiki Wa KujitegemeaLabda ulekebishe hicho kilugha chako.
Umedesa kwenye AI apps wewe.Hydraulic compression inafanya kazi kwa kutumia shinikizo la kioevu (mafuta au maji) kupitisha nguvu katika mfumo wa hydraulic. Kwa kutumia kanuni ya Pascal, shinikizo linapoongezwa katika sehemu moja ya mfumo, linaenea kwa usawa na kusababisha compression ya vitu au sehemu zinazohitaji nguvu kubwa. Mfumo huu unatumika sana katika viwanda, ujenzi, na magari kwa sababu ya ufanisi wake, udhibiti wa nguvu, na uwezo wa kutoa nguvu kubwa kwa matumizi ya kifaa kidogo.
MkuuUmedesa kwenye AI apps wewe.
Kwanini ukithrow mpira kwenye maji haudundi kama unavyodunda kwenye ardhi ?Nakarbisha maswali pia
Mkuu ACHA kuwajibu hao jamaa!!Sawa
Nifatilie
Kwanza
Physics is a branch of science that deals with the study of matter, energy, and the fundamental forces of nature. It explores how things work in the universe, from the smallest particles to the largest structures. Physics can be divided into several major branches, each focusing on different aspects of physical phenomena. Here are the main branches of physics:
1. Classical Mechanics
- Definition: Classical mechanics is the study of the motion of bodies under the influence of forces. It deals with objects that are much larger than atomic particles and moves at speeds much less than the speed of light.
- Key Topics:
- Newton's Laws of Motion
- Kinematics (study of motion)
- Dynamics (forces and their effects on motion)
- Statics (forces in equilibrium)
- Fluid mechanics
- Rigid body mechanics
- Applications: Engineering, construction, vehicle motion, and most everyday activities.
2. .Quantum Mechanics
- Definition: Quantum mechanics is the branch of physics that deals with the behavior of matter and energy at very small scales, typically at the level of atoms and subatomic particles.
- Key Topics:
- Wave-particle duality
- Uncertainty principle (Heisenberg)
- Quantum entanglement
- Quantum tunneling
Mkuu ACHA kuwajibu hao jamaa!!
Naweza kukupa connection tatizo mshahara kama wa tempo vile!!labda kama ukipiga Tuition vile!!Nipe
Pm nikupe namba za jamaa uongee nae!Nipe connection mkuu
Hii ikuoneshe ni jinsi gani huwezi kuikimbia physics kwenye maisha yako ya kila sikuKwanini ukithrow mpira kwenye maji haudundi kama unavyodunda kwenye ardhi ?
HHabari zenu ndugu zangu.
kama nilivyojitambulisha mimi ni mhitimu wa shahada ya ualimu wa somo la physics mwaka 2022 na G.P.A ya 3.7 .
Nina uwezo mzuri wa kufundisha vidato vyote (form 1 mpaka form 6) na vyuo vya kati pia.
Nimefundisha shule kadhaa za sekondari kabla ya kuingia mazima kwenye ujasirimali ambako pameenda isivyo.
Ninaombeni kazi ndugu zangu
Kwa sasa nipo kibaigwa
0778117626
Hongera sana mkuu kwa kuhitimu chuo. Utapata kazi, wakati ukifika utapata tu. Kahama -SHY kuna shule nyingi sana za private kajaribu kuomba Kwema Modern, Anderleck Ridges, Mhongolo Progressive, St John wa II, pia kwa Iringa jaribu kuomba ST Dominic Savio, Mungu akutangulie akutangulie sana. Pia kuwa na subira kila kitu kitakaa sawa.Habari zenu ndugu zangu.
kama nilivyojitambulisha mimi ni mhitimu wa shahada ya ualimu wa somo la physics mwaka 2022 na G.P.A ya 3.7 .
Nina uwezo mzuri wa kufundisha vidato vyote (form 1 mpaka form 6) na vyuo vya kati pia.
Nimefundisha shule kadhaa za sekondari kabla ya kuingia mazima kwenye ujasirimali ambako pameenda isivyo.
Ninaombeni kazi ndugu zangu
Kwa sasa nipo kibaigwa
0778117626
Scattering of light raysMtu na nusu jibu kwanini mbunguni kwa blue
Mkuu nilisha waaza hivi ila sielewi wanalipanaje na maboss wa magerejiSamahani waonaje ukijichanganya gereji,unaweza kuwa fundi mzuri ati,labda kama hutaki kuchafuka na hiki ndo uwaponza wasomi wengi,,kuna jamaa elimu yake la saba anapiga hela ndefu katika sekta hiyo,lkn huwa nashangaa wanawezaje hawa na elimu yao ndogo hivyo.
Its painful sana,mi namwonea wivu pia,mi niliyajaribu hayo masomo lkn siku fanikiwa at high level,.,namba ilikuwa tamu sana,lkn najiuliza au jamaa kuna mahala alijikwaa nini!!!,maana naona kuna mengi angeweza fanya tokana na haya masomo kuwa hot cake katika nyanja nyingi,na kwenye uhasibu watu hawa huwa wanapeta sana kwasababu yakujua nambazi.Hatari sii mchezo.
Mie nikiwaza jamaa alivyokuwa anashusha namba za calculus, numerical analysis na hesabu za quantum mechanics alafu anasota ujue inauma sana.
Connection kakaIts painful sana,mi namwonea wivu pia,mi niliyajaribu hayo masomo lkn siku fanikiwa at high level,.,namba ilikuwa tamu sana,lkn najiuliza au jamaa kuna mahala alijikwaa nini!!!,maana naona kuna mengi angeweza fanya tokana na haya masomo kuwa hot cake katika nyanja nyingi,na kwenye uhasibu watu hawa huwa wanapeta sana kwasababu yakujua nambazi.