Mimi ni mwalimu wa science (Physics), ninaombeni kazi ndugu zangu

Mimi ni mwalimu wa science (Physics), ninaombeni kazi ndugu zangu

Na c yangu adv. Physics ila nishasahau Kila kitu. Theory ndio nazikumbuka kwa kusoma hizi comments. Niko katika field tofauti kabisa. This Life!
 
Habari zenu ndugu zangu.

kama nilivyojitambulisha mimi ni mhitimu wa shahada ya ualimu wa somo la physics mwaka 2022 na G.P.A ya 3.7 .

Nina uwezo mzuri wa kufundisha vidato vyote (form 1 mpaka form 6) na vyuo vya kati pia.

Nimefundisha shule kadhaa za sekondari kabla ya kuingia mazima kwenye ujasirimali ambako pameenda isivyo.

Ninaombeni kazi ndugu zangu

Kwa sasa nipo kibaigwa

0778117626
Hivi wakati unahangaika kuomba kazi ya kufundisha humu jukwaani, serikali yako mpaka muda huu ina upungufu wa kutosha tu wa walimu wa masomo yako!! Na wala haina mpango mkakati wa kumaliza kabisa huo uhaba kwenye shule zake!!

Na wakati nyinyi wahitimu wa vyuo mkiendelea kitaabika mtaani huku mkiwa hamjui hatima yenu; serikali hiyo hiyo inapoteza mamilioni ya shilingi kwa kuwalipa wanasiasa wanaopiga makofi tu na vigelegele kule bungeni!!
 
😂😂😂😂 Au wanakwambia,

Kitu kigumu kinapozama katika shimo laini, msuguano unabadilika kuwa moto kama ulimbo na ulimbombo.
Na pia kitu chochote kinapozamishwa kwenye shimo, usito wake hupotea na sehemu ya uzito huo hutolewa nje ni sawa na utamu wa mara ya kwanza unaoupata baada ya kimiminika hiko kufikia mwisho...

In English

when an object is immersed in a fluid, it experiences an upward force called buoyancy that is equal to the weight of the fluid the object displaces:
 
Hz shule hazina msaada kwa wanafunzi.inahitajika elimu ya kujitegemea.
Kuna shida katika mfumo wetu wa Elimu
Mtu mwenye degree ya physics ilitakiwa pia awe cheti Cha Electrical engineering au Electronics

Kwahiyo apo angekuwa na option nyingi katika ajira maana ukweli ni kwamba mtu mwenye degree ya physics hakuna ambacho hakijui katika umeme lakini soko halimtambui kama yeye ni fundi umeme
 
Back
Top Bottom