Mtu na nusu
JF-Expert Member
- Jan 9, 2020
- 680
- 1,306
- Thread starter
- #81
Hiyo inaitwa Maji kujaa na kupwa baharini inasababishwa (!) Mvuto wa mwezi na jua (tides), (ii) Mabadiliko ya joto la bahari (thermal expansion), (iii) Mabadiliko ya kiwango cha maji duniani (sea level rise), (iv) Vimbunga na dhoruba, na (v) Mabadiliko ya mvumo wa maji . Haya mabadiliko ni sehemu ya mzunguko wa asili wa maji katika sayari yetu, lakini pia yanahusiana na mabadiliko ya tabianchi na athari za shughuli za binadamu.Hayapendi kukaa sehemu moja...
...ila ngoja aje!