Kama uelewa wako uko parallel na wangu hatuwezi kuelewana.
Unajadilianaje na mtu asiyejua chochote? acha dharau na kejeli, hazikujengiHujui lolote zaidi ya hizo imani potofu. Kaabudu mungu ulale.
Ahsante kwa mjadalaNADHARIA YA KWANZA TULIYOKUWA TUNAJADILIANA YA UWEPO WA MUNGU NILISHAIFUNGIA MJADALA KWA HITIMISHO LILILOUNGWA MKONO NA MAELEZO YAKO, NA HUO NDO ULIKUWA MJADALA WETU BAINA YANGU MIMI NA WEWE - HATUDAIANI
You better go for yours while i go for mine [emoji1691]Mungu ni uzushi. Kucheka au kupuuza hiyo nadharia sio kipimo cha ustarabu.
I may and will not claim to have much of a difference from 'uneducated individual who lacks the technical knowhow to overcome the innate need to jump into beliefs'. Only little difference being what we do after conceiving a belief.Does ".... reject them only if we find facts proving them wrong..." mean you are proudly more inclined to superstitions than empirical processes? If so, how are you any different from an uneducated individual who lacks the technical knowhow to overcome the innate need to jump into beliefs?
There's is no shame in being a superstitious scientist, it is ridiculous, but no shame in being who you really are. Brain scientist do claim being vulnerable to beliefs is a genetic issue. I'm glad I lack the trait.
Ulianza "jishongondoa" sasa umeleta "chatua". Uko vizuri sana Synonym.Umelazimishwa uamini? wanaoamini uwepo wa MWENYEZI MUNGU ulimwenguni wapo takribani bilioni 7, umeshindwa kuheshimu wanachoamini hadi ujichekeshe hovyo?
'Eti uwepo wa MUNGU ni kichekesho', hii ni lugha ya istih'za'i na innad! kwanini kutokuwepo kwake ndo kusiwe kichekesho? mbona mimi sikucheka maoni yako kwa kebehi, wala niliyemjibu ile comment hakucheka, ilikuwa ni mara yako ya kwanza kuona hoja ya ufunuo?
Ungekuwa umestaarabika ungeheshimu imani za watu na si kujichatua na vicheko hovyohovyo
Habari ya mchana. Naomba umsaidie kuuliza vizuri. Kuna namna mtu anaweza kuweka swali likawa bovu na kukosa majibu. Pitia huko juu alichouliza ili uniulize, nami nitajibu kadri ya ufahamu wangu.Nyinyi shida yenu huwa mnapenda sana story za Sayansi wala hamuhoji mkisisia mambo ya Quantum Physics, mara Entropy, mara Universal Gravitational Force, mnabweteka hamuhoji tena. Hakuna sehemu inayozidi uongo wa wazi na kubuni mambo kuzidi kwenye Sayansi, sasa unaulizwa maswali marahisi ujibu. Ila hii ndiyo kawaida yenu huwa hamjibu maswali na hii inaonyesha nyinyi ni mashabiki na si wafanya utafiti.
Mnatakiwa mbadilike aisee, hizi akili mlipewa bure zitumieni ipasavyo.
Shukrani.
Sijakuelewa.Habari ya mchana. Naomba umsaidie kuuliza vizuri. Kuna namna mtu anaweza kuweka swali likawa bovu na kukosa majibu. Pitia huko juu alichouliza ili uniulize, nami nitajibu kadri ya ufahamu wangu.
Sawa [emoji4]Ulianza "jishongondoa" sasa umeleta "chatua". Uko vizuri sana Synonym.
Hoja nyepesi zinastahili majibu mepesi.
Parallel inawezekana. Kama njia tunazotumia hazikutani au kugusana sehemu yoyote, hizo ni parallels.Uelewa wa watu unakuwaje parallel 'sambamba' halafu wakashindwa kuelewana? Kuwa na uelewa sambamba maana yake uelewa una mshahabiano, mfanano, unaoana, unalingana, una uelekeo mmoja
Mimi na wewe uelewa wetu unakinzana/unapingana, hivyo hatuwezi kuwa parallel
Synonym vs Antonym
Imani thabiti?Unajadilianaje na mtu asiyejua chochote? acha dharau na kejeli, hazikujengi
Imani potofu! heri yako wewe uliyepambanukiwa na kuwa kwenye uongofu na imani thabiti
Sawa, wewe usiyemuabudu MUNGU usilale
I think there was a time when wordplayers who came to be identified as philosophers were considered scientists. And even before them the spiritual healers and Co. We went from predicting without procedures; to predictions and explanations based on language, specifically the premises that seemed sensible dictated truths; Finally we arrived to a stage where only substantiated and hard evidences can be taken seriously to make claims on absolute truths.I may and will not claim to have much of a difference from 'uneducated individual who lacks the technical knowhow to overcome the innate need to jump into beliefs'. Only little difference being what we do after conceiving a belief.
But on the same note I will not claim much of difference from great scientists who started by observing or thinking of a phenomenon and then proceeded into believing possibilities of existence of such phenomena. Even formulate calculations about them without even seeing them. Some of those scientist even died before proofs of such things ever were witnessed. Example gravitational waves; 'Though Einstein predicted the existence of gravitational waves in 1916, the first proof of their existence didn't arrive until 1974, 20 years after his death' quoted from somewhere
Look you may feel free to label these supernatural imagining scientist as superstitious but remember. In imagination lies a potential for genious scientist[if it is true] and dumbest scientist[if he is wrong but insist on holding wrong pseudosciences]. Those who do not like imagining are the normal mediocre scientists. It is risky to be in the former group, it is safer to be on the side of mediocre but is no fun either.
Nakataa. Darwin hakuwaza evolution kabla ya kuchunguza viumbe. Planetary science inajengwa na hesabu zenye sheria sio mawazo huru. Bailojia ya tiba ilianza kwa kuchunguza miili, kuchana kuona viungo vya ndani n.k. So dhana ya armchair thinking leads to truths ni mambo ya kubahatisha. Unajua imagination is not always true. You can imagine but doesn't mean it has to be real.Bwana masdinero masproblemas Shida ni kwamba kama tusingekuwa tunakijua tunachokitafuta tusingekuja kukiona kamwe.
Ushasikia msemo kwamba kama hakipo akilini huwezi kukiona machoni, kwa baadhi ya vitu huo ndio ukweli lazima uamue kwanza ukiweke kwanza kitu akilini ndiyo unaweza kukiishi sasa na baadae [usitake kuyaona machoni mambo ya kiroho japo inawezekana]
Kama tungekuwa hatutafuti hizo gravitational waves basi tusingezitambua kamwe mwaka 2015:
'All of this changed on September 14, 2015, when LIGO physically sensed the undulations in spacetime caused by gravitational waves generated by two colliding black holes 1.3 billion light-years away. LIGO's discovery will go down in history as one of humanity's greatest scientific achievements.
Pole.Sijakuelewa.
Shukrani.Pole.
Hakuna ambaye analipuka ghafla tu na liukweli fulani ambalo halina mashiko na kulifanya ndio mwisho mbona awe scientist au religionist. Kila mmoja anakuwa amemake observation halafu ndiyo anaanza ku make sense ya alichokiona, mwishowe anatengeneza nadharia zake halafu anazifanyia kazi na anafikia hitimisho kulingana na uwezo uliopo.Nakataa. Darwin hakuwaza evolution kabla ya kuchunguza viumbe. Planetary science inajengwa na hesabu zenye sheria sio mawazo huru. Bailojia ya tiba ilianza kwa kuchunguza miili, kuchana kuona viungo vya ndani n.k. So dhana ya armchair thinking leads to truths ni mambo ya kubahatisha. Unajua imagination is not always true. You can imagine but doesn't mean it has to be real.
Mfano wa gravitational waves mzuri kuelezea nachojaribu kusema. At first, observations of heavenly bodies were made. They followed a pattern as though they were moving on a wavy surface of sort. It was as though there were depressions near heavy phenomenon (as measured by amount of materials/energy therein) where smaller bodies fell in closer. The calculations ran with the observations. In this way theorists concluded the problem, arriving at instead of beginning from it. The surface came later on to be called the space-time continuum.
If someone proposed this without proper observations and supported calculations, the individual wouldn't be taken seriously and put any reputation on a cliff. Even after later proofs would still be viewed as a speculator not scientist. Scientific work entails connecting the gap between ignorance and knowledge through properly established steps, not shortcuts based on faith.
Parallel inawezekana. Kama njia tunazotumia hazikutani au kugusana sehemu yoyote, hizo ni parallels.
Misingi ya vipimo na imani huwa haikutani. Huwezi abudu halafu umalize uchungulie telescope au microscope kumtafuta huyo mungu. Mwisho wa siku either una amini au unajua. Huwezi kuunganisha vyote. Ukijua kitu huhitaji tena kuamini. Imani haina msaada kwenye taaluma au ujuzi wowote.
Mimi na wewe tuko parallel kwa msingi huo. Wewe mtu wa imani wakati mimi mdadisi. Nahoji kila kitu hadi uhalisia wa hizo imani. Sijajiwekea mpaka. Siwezi kuabudu kitu nisichoelewa. Hata iwapo moja ya aina nilizopata kuona kuhusu mungu ni kweli bado sitoabudu. Zote zimejaa ujinga. Mambo ya kale. Mimi sio mtu wa kale. Pamoja na kupitwa na wakati nahisi kuna watu walihoji hata kipindi hicho. Walikuwa imara kukataa ujinga. Kuabudu ni udhaifu ambao nitajionea aibu kufanya. Kuna wanaona ufahari kuabudu sio mimi. Utumwa, uvivu, ujinga, upotevu wa muda kwa zoezi lisilo na faida.... itoshe kusema bongo zetu ziko tofauti.
Naweza nikakuheshimu kama mtu japo una mawazo nayojua ni imani potofu. Imani yako hiyo ni sehemu ndogo ya utu wako. Unaweza kuwa mtu mwema na hodari kwenye mambo mengine ya msingi. Kwani unadhani hakuna wataalamu wanaoamini hizo imani? Wanaheshimika kwenye field zao lakini inapokuja kwenye imani nao dhaifu. Kuheshimu imani zao itakuwa unafiki. Tunavumiliana tu sio kuheshimu imani yenyewe. Hata ikisemwa tunaheshimu imani, ukweli ni kwamba kauli hii ya "kisiasa" ina maana tunaheshimu watu wanaoamini ujinga fulani maana wao ni zaidi ya ujinga wao huo mmoja. Binafsi tunajua hatuwezi kufata ujinga wao ila mambo mengine ya msingi tutashirikiana.
Sijui umenielewa au tumeenda parallel tena? Nimejitahidi kuandika namna utakayoelewa Synonym.
Unaonyesha viashiria vyote vya superstitious mentality kama unavyoweka jina la kitu unachoabudu kwa herufi kubwa. Kwanini usiweke herufi kubwa pale tu kuashiria unaanza sentensi mpya. Hiyo itakuwa sababu yenye maana zaidi. Nadhani utakuwa unajaribu kuonyesha heshima kwa hiko kitu. Heshima ya utani. Binafsi naona ni upuuzi.
Nimeipenda comment yako hasa kwa hichi kipande, umenikumbusha kitu kikubwa sana yaani. Tena inajulikana kabisa kuwa, mtu aliyesoma kidogo sayansi ndio yupo rahisi zaidi kumkataa Mungu, lakini akisoma deep zaidi akabobea ana uwezekano mkubwa zaidi wa kumkubali Mungu. Sheikh mmoja aliwahi kusema kila kilichoumbwa unachokiona ni aya, ni kama mafunuo ya Muumba kwetu. Ukilisoma jani au mbuzi vizuri utamtambua Mungu, hata ukiisoma cosmos vizuri utamshuhudia Mungu. Sayansi haipingani na Mungu sema tu elimu nusu, ujuzi nusu huwa una mtindo wa kuwa haribifu kwa mwenye kuupata. Tumuombee huyu jamaa elimu yake iboreke aelimike zaidi, aujue ukweli.Ni nani aliyekukaririsha kwamba mtu akiwa mwanasayansi au mwanafalsafa ni lazima asiamini uwepo wa Divine Being kwa sababu ni fani zenye misingi tofauti? Eti huwezi kuunganisha vyote, yaani mtu kuwa mwanahistoria au mwanajiografia ndo kumpokonye haki ya kuamini? Nani kakufunza mambo haya, ni viashiria vya fikra limbukeni