Mi ntasema ule ni utamu halisi bhana for all intents and purpose katika hali yetu hii ya kimwili. Ni kitu kipo, labda kinadharia ndio useme illusion.
Utamu wa kweli huja kila wakati mtu anapofanya kitu cha maana kwa maisha, mfano kuongeza mtoto, kupata chakula chenye nishati nyingi[calories]. Kumsaidia rafiki na kupata mafanikio maishani. Zote hizi ni utamu za kweli maishani
Utamu wa uongo ni ule hauna maana au uko kinyume na maisha mfano kujichoma daya ya kuuambia ubongo 'kuna raha' wakati hakuna cha maana chochote kilichofanyika kwa maisha