Mimi ni mwanabaiolojia na huu hapa ndio uthibitisho wa uhalali wa Mungu(2)

Naona mifano unayotumia kufafanua hoja zako ina uhitaji mkubwa zaidi ya kufafanuliwa kuliko hoja yenyewe

Kwanini unanifunga kimawazo na kuniwekea mipaka kufikiri, kwamba kwa swala la wewe kuamrisha kirusi litanifikirisha katika angle ya kimungu na sio kiuchunguzi au namna nyingine isiyohusha Mungu?
Najaribu kufafanua: Ukiisoma hii topic umeona jinsi ambavyo 'picha' yamungu imeoneshwa katika levo mbalimbali. Ulielewa vile nilisema mtu ni mungu kwa seli zake mwilini?

Ulielewa nilipotumia analojia hiyohiyo kusema kwamba hata mimi na wewe na mimea na wanyama ni kama seli zilizo chini ya Mungu mmoja.? Ukijumlisha na concept ya draga kuwa ni nishati. Nishati ambayo inachukua form mbalimbali kulingana na inapojiexpress, na kikwetu ipo conscious. Ndio tunataka kuleta viashiria vya Mungu wa namna hiyo.
 
Coz wewe pia ni NISHATI
Sawa mimi ni nishati with a personality and with consciousnes

Natumai hata hiyo nishati kuu unayozugumzia pia have some form of personality[not anthropomorphic person] and consciousness too?
 
Mungu umemuamisha amisha kila sehemu mpaka kufika hatua umemfanya mtu awe ndio Mungu jambo ambalo kwa mafundisho ya kidini ni kufuru

Kiufupi attempts zako haziwezi kuwa na impacts kwasababu unafanya kosa moja la kuchukua vitu ambavyo vipo na vinathibotishika kuwa ndio ushahidi wa kitu kingine (Mungu) ambaye hathibitishiki
 
😂😂😂 eti nimemuamishaamishaa daah. Najaribu kukupa analogy. Na hamna vitisho vya kufuru wala nn apa. Nilisema mtu ni mungu kwa viseli vyake. Mungu ni cheo kama hujui.
 
Kiufupi attempts zako haziwezi kuwa na impacts kwasababu unafanya kosa moja la kuchukua vitu ambavyo vipo na vinathibotishika kuwa ndio ushahidi wa kitu kingine (Mungu) ambaye hathibitishiki
Kama utakubaliana na hiyo analojia ya 'picha' picha ilivyo ndio tunaweza kuendelea bro. Ntaanzaje kuthibitisha kabla hata hatujakubaliana ni nini tunafanya?
 
Kwa Scars unajua hata wanasayansi wanakubalianaga kwanza kwamba asidi inabadilisha karatasi ya litimasi kuwa nyekundu. Halafu mmoja anatengeneza madai 'embe bichi lina asidi'

Mwingine akimwambia thibitisha ndio anchukua embe anaweka litimasi likibadilika basi wanakubaliana.

Ndiyo maana hata wewe tukubaliane kwanza baadhi ya sifa za tunachotaka kuthibitisha kwanza.

Kwani wewe inakushinda nn kusema kwamba Mungu ana sifa hii na nikiona hiki kitu basi huo utakuwa uthibitisho wake. Sio unadai tu vithibitisho bila hata kujua unachodai ni kitu gani
 
Sawa basi naomba uanze kwa kum define Mungu
 
Sawa mimi ni nishati with a personality and with consciousnes

Natumai hata hiyo nishati kuu unayozugumzia pia have some form of personality[not anthropomorphic person] and consciousness too?
Kilichopo ndani yangu ni hichohicho kilichopo kwako kwenye NISHATI hakuna personality , personality ni maumbile ya ndani ndio lakini Kwenye level ya chini kidogo, iv vitu ulitakiwa uvijue mwenyewe sio kwakusoma mahali
 
Nimekuueleza vitu ambavyo huna swali utauliza viskupe majibu
 
Sina mahitaji yakuconvicing kma din wafanyavyo coz sihitaji sadaka wala pesa kwa kondoo
Hujaelewa

Umenipa ruksa ya kujichangulia aina ya uthibitisho kwa maana upo mwingi

Mimi nimetaka uchague wewe kwa kuzingatia uthibitisho wenye nguvu ambao hata wewe unaupa asilimia kubwa za kujengea hoja kuliko uthibitisho mwingine
 
Sawa basi naomba uanze kwa kum define Mungu
Duuh! kweli Leo ni leo! yaani mda wote tunazungumzia hicho kitu halafu unakuja na suala hili?

Majibu yapo post number 349. Hatudefine tunasema ile picha ya Mungu tunayoizungumzia hatuwezi kumdefine kikamilifu ila tunataja sifasifa zilivyo. Ngoja nikaikopi;

'
''''Najaribu kufafanua: Ukiisoma hii topic umeona jinsi ambavyo 'picha' yamungu imeoneshwa katika levo mbalimbali. Ulielewa vile nilisema mtu ni mungu kwa seli zake mwilini?
Ulielewa nilipotumia analojia hiyohiyo kusema kwamba hata mimi na wewe na mimea na wanyama ni kama seli zilizo chini ya Mungu mmoja.? Ukijumlisha na concept ya draga kuwa ni nishati. Nishati ambayo inachukua form mbalimbali kulingana na inapojiexpress, na kikwetu ipo conscious. Ndio tunataka kuleta viashiria vya Mungu wa namna hiyo. ''''

So ni kama ambavyo wewe ni wewe, na upo pote katika kila kiungo chako ukijiexpress katika namna mbalimbali. Vile viseli vyako vikijiona kama vipo free vinafanya vinavyotaka kumbe vyoote vipo chini ya uangalizi wako wewe mtu mwenye upendo wote na unayevijali na kuvihudumia vyote japo havikuoni. Ila kila siku umaumiza kichwa upitepite njia zipi vipate chakula, na hewa na maji etc. Wewe ni energy inayopower mfumo wako mzima na siku ukiondoka uhai unakoma katika kila seli unayomiliki.
 
We si ndo umependekeza kufanyike makubaliano kwanza ya namna gani uthibitisho utolewe

Sasa makubaliano si ndio haya...iweje tena unapinga?

Mungu kuelezewa katika level mbali mbali kunaonwsha jinsi gani kila mtu na namna ambavyo anaamua kumdefine Mungu

Sasa ili kujitofautisha au kujiweka upekee na hao wengine ulipaswa uje na ufafanuzi mzuri unao elezea Mungu wako ambaye naweza kumtofautisha na Miungu wengine

Saizi ukinambia umethibitisha Mungu yupo utakuwa umeniweka njia panda kuanza kufikiri huo uth8bitisho umemlenga Mungu Yesu, Mungu, Yahweh au Mungu mtu

Ukinipa tafsiri ya Mungu haoo unakuwa umefanya mjadala kuwa mwepesi na kueleweka kirahisi
 
Aaah we usijitie huoni. Yaani nimerudia, nimebold na kubold halafu bado unataka nidefine upya.

Labda uniambia umeireject hiyo picha yangu ya Mungu alivyo ['definition']. Sema kuwa umeidebunk hiyo picha ninayokuchorea tujue moja.
 
Back
Top Bottom