Habari wanajamii forums wote.
Mimi ni kijana umri miaka21 nilianza kujifunza ufundi umeme wa magari mwezi wa tano mwishoni mwaka huu.
Kiukweli nilikuwa napenda sana magari tangu awali, na aliyenivutia jamaa jirani yetu nilipokuwa nikiishi awali. Ni fundi mzuri sana ni mtu wa arusha. Siku moja alikuja kutengeneza gari ya nyumbani hapa ndipo nilipovutiwa zaidi.
Baada ya baba yangu kutoka Arusha kikazi aliporudi akapaki gari. Gari ilikuwa ni alphard, baada ya siku mbili alipokuja kuiwasha gari haikuwaka. Tukajaribu kuchukua betri ili tubusti lakini juhudi zone ziligonga mwamba.
Hapa sasa baba akampgia fundi wake. Baada ya yule fundi kuhangaika nayo sana ilimshida na kwa kipindi hicho atukuwa tukimfahamu huyu jamaa jirani.
sasa alipokuwa kwenye jumuiya za jumamosi baba akibadilishana mawazo na wazee wenzake akaambiwa kuna kijana ni fundi mzuri sana yupo hapo nyumba ya nne kutoka hapa, ndio jamaa kuitwa. Alipofika akaelezwa tatizo akasema mzee hakuna shida ila naomba umpgie kwanza fundi aliyekuwa akilitengeneza hili gari niongee nae.
Baada ya kumpgia fundi wakaongea mafundi kwa mafundi akiwa ameweka sauti(loud speaker) ili kila mtu asikie. Baada ya maongezi yao yule fundi akasema nimeshindwa embu jaribu kuitazama kwa upande wako. Alipokata simu akasema mzee mimi huwa ninahitaji kujua kwanza mwenzang kashindwa kazi ili mimi niingie.
Akaomba baada ya siku mbili atakuja na akasema akija anakuja kuiwasha gari.
Kweli fundi alifika pale akiwa na kijana wake na kibegi kidogo tu kimejaa waya waya, testa tepu na alikuwa na mashine ya kutambua tatizo OBD2 .
alitengeneza ile gari ndani ya dakika 50 ttu na gari ikawaka. Akavuta pesa yake karibia 380k ukijumuisha na vitu sijui waya, tepu, relay na vitu vingine ambavyo sashiv kidogo naanza kujua alikuwa tu anatengeneza mashono yake mwenyew fundi.
CHANGAMOTO NILIZOKUTANA NAZO MIMI BINAFSI KWA KIPINDI KIFUPI.
kwanza kabisa gereji nimekuta madogo miaka 12,13mpaka 18 mimi najiona mkubwa japo shule imechangia. kiukweli kabisa mwalimu wangu ni fundi mzuri sana lakini ni mtu wa pombe na kutoa maagizo. Hivyo mwezi wa kwanza wote nilikuwa natazama huku nikitumwa, shika S, pima fyuzi, chomeka taa na vitu kama hivyo. Ilipofika mwezi wa nane mwishon some likabadilika akawa ananiambia fanya hivi halafu anatoka anaenda kucheza karata.
Nakumbuka siku moja kapigiwa simu ya kwenda kufunga android na camera akajibu poa, alipokata simu akasema swezi kufanya kazi za wanafunzi akaniagiza niende. Nilipofika pale gari ilikuwa ni premio new modern. Baada ya kufika pale nikaanza kupanga waya za moto direct, moto Acc, waya za spika na S. Hii gari ukipima s zinaleta mbili sikujua hilo huku nipo natetemeka. Nikaunga. Kumbe waya niliyounga ni waya parking ile kuunga nikasikia kama shoti then tv ikapoteza sauti. Jason likaanza kunitoka.
Ikabid nimpgie mwalimu simu muda huo kalewa tayari. Nilipokea matusi mazito sana baadae akaja, akasema his TV umeua Ac ya sauti na matusi kama yote.
Nilitamani siku ile ile niache kujifunza, yule boss akauliza hakuna uwezekano wa kutengeneza. Fundi akasema hapa ni kubadilisha Ac ya sauti mpaka kwa mafundi radio. Tukaenda huko njia nzima nikitukanwa mama yangu. Hakika nilimponza ile siku.
Wakuu mimi bado ni mwanafunzi na napenda sana kujua vitu vingi. Nitakua nikishare changamoto naomba mafundi muwe mnanisaidia kwa ajili yangu na kwa ajili ya wengi ambao wapo katika fani hiyo na ambao wanapenda kujifunza
Nawasilisha karibuni sana🙏