"Mimi ni Mwenzenu Hapa, Sijabadilika ni Yule Yule "KaJoni" - Ni Maneno Simple, Humble and Down to Earth Yenye Maana Kubwa!

Ameumiza wengi Sana zaidi ya Lissu hata kama akimalizana na Lissu vipi wengine waliokufa kwa act zake mfano kubomoa nyumba zao,kuwafukuza kazi,kudhulumiwa pesa zao,wahanga wa wasiojulikana,maumivu ya marudio ya chaguzi feki,walio jela mwaka wa tano kwa kosa la kugoma kumuabudu,waliozulumiwa korosho zao,waliokosa pesa zao za kustaafu,waliotaifishiwa Mali zao,nk maumivu ni mengi na yote yameshamfikia Mungu Jehovah nae atalipa kwa wakati wake.
 
Unafiki wa kiwango cha lami
Muuigizaji tu
Swali mbona amezeeka haraka sana nini shida?
Afya iko
Amechoka akili mwili na roho dah!
Mbowe anampa Presha mwaka wa tano huu sasa jitihada zote za kumshusha zimebuma utaacha vipi kuzeeka.Aachane na upinzani ameukuta na ataondoka atauacha ashughulike na kazi alizochaguliwa nazo hii ya kuuwa upinzani ni ngumu kwake
 
Inaitwa smoke camouflage yaani unajiona umevaa nguo kihisia lkn Jamii inakuona huko uchi,Jamii inakujua kuliko unavojijua ni sawa na kufanya matendo mbele ya ccctv ukiamini ccctv haikuoni.Kichwa mbuni mchangani.
 
Utokea Sana kama njia ya kufidia gap hasa ambalo hakulipata utotoni muhusika mfano kubezwa,kukosa Upendo utotoni,ili mtoto wako Hawa wadogo under 3yrs awe balance ukubwanj yatakiwa uwe na tabia ya kumkumbatia,kumbeba,kumhag hii ni tiba ya kumfanya ajiamini ukubwani
 
Tiba yatakiwa upate uponyaji wa ndani usamehe na kusahau yote uliyotendewa,utafute personal coach ambae ni positive thinker aishape mind yako,usome na uyaishi mafundisho ya person development,spiritual development,mafunzo kama yoga, meditation,ubudha, Scientology yanatibu yote kumshape mtu kuelekea perfection yaani kumuondolea mtu mahangaiko ya nafsi,ubinafsi,kiburi,dharau,hasira,kujikweza hizi zote ni tabia za mtu aliye na gap nafasi yaani brain yake haijabalance ni mtupu hivo ufanya matendo hayo negative ili apate balance.Ukishakuwa perfection utaijua universe na uhitaji external factors mfano pesa, umaarufu, utajiri,polisi, madaraka ili ujikamilishe,Ila yote ni lzm muhusika akubali binafsi kuamua kubadilika
 

P akikujibu uni tag pls
 
Biblia yasema." Kama tusipowasamehee wengine wanaotuudhi Baba yetu wa mbinguni naye hawezi tusamehee makosa yetu,nasi twasali bure".Kama utaki kuwasamehee wengine ya nn kujichosa bure kwenda ibadani maana ni sawa na kupoteza bure mda wako maana maombi yako yamefungwa na ni kelele tu mbele za Mungu.Watu wako ndani mwaka wa tano huu ushahidi haujakamilika familia zao zikiteseka.Unamfunga jela miaka 5 mtu pasipo ushahidi halafu unaenda kanisani kufanya nn kumridhisha mwanadamu au kumuongopea Mungu,Mungu na Jamii inakujua kuliko ujijuavo.
 
Pascal you are talented. I know you need to walk a thin line between truth and fantasies when you write . With your talent I advice that you stick on truth using your talent and take what may... Leave the fantasies fictional writing to others. Just be you the men who made kitimoto something that will remain and desired always in era of journalism in this country
 
Sasa mkuu Paskali, kwa utambulisho wa Kisukuma alichemka kidogo. Alipaswa kusema " Mimi ni kale kale KaJoni" haikuwa sahihi kusema "ni yule yule". Hii kwa kweli Usukumani tunaitumia sana na wakati mwingine huwa inanitia matatani ninapotoa utambulisho kwa watu wa makabila mengine maana wengi wao wana maumbo madogo sasa huwa napenda sana kuweka hiyo prefix ya " ka" kwenye jina la mhusika! Itabidi watuvumilie tu maana hakuna namna!
 
ila ma-CCM yana roho mbaya sana, yaani mtu ‘anaji sogeza sogeza’ ili angalau alambe ka uteuzi lakini wapi wanamchunia, ila kuwanunua ‘kamanda’ tena kwa gharama yoyote kwao sio shida, duuuu.......
 
Nabii hakubaliki nyumban، kujishusha ni sehemu ya kuvuna credibility kwao.
Kikauli hicho kingekuwa na maana kama ingekuwa siku anaongea na umati mkubwa wa watu na wasaidizi wake, isiwe kanisani.
Inawezekana homilia ilimkuna kunako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…