Bana likasi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 6,926
- 6,422
Huku teuzi anataka kwa kuwa mnafiki huku kuikana nafsi yake kuusaliti ukweli ana sita napo kote kote anatakaHuyu sio moto kbs mkuu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huku teuzi anataka kwa kuwa mnafiki huku kuikana nafsi yake kuusaliti ukweli ana sita napo kote kote anatakaHuyu sio moto kbs mkuu...
Ameumiza wengi Sana zaidi ya Lissu hata kama akimalizana na Lissu vipi wengine waliokufa kwa act zake mfano kubomoa nyumba zao,kuwafukuza kazi,kudhulumiwa pesa zao,wahanga wa wasiojulikana,maumivu ya marudio ya chaguzi feki,walio jela mwaka wa tano kwa kosa la kugoma kumuabudu,waliozulumiwa korosho zao,waliokosa pesa zao za kustaafu,waliotaifishiwa Mali zao,nk maumivu ni mengi na yote yameshamfikia Mungu Jehovah nae atalipa kwa wakati wake.Yap amwombe msamaha lisu kwa Yale aliyotaka yamtokee mungu akaepusha. pia amlipe stahiki zake zote, aombe msamaha kwa kumnyanganya ubunge kwa bila,
kisha amkaribishe nyumbani, amuhakikishie ulinzi ili arudi nyumbani aungane na familia ndugu na marafiki zake
Mbowe anampa Presha mwaka wa tano huu sasa jitihada zote za kumshusha zimebuma utaacha vipi kuzeeka.Aachane na upinzani ameukuta na ataondoka atauacha ashughulike na kazi alizochaguliwa nazo hii ya kuuwa upinzani ni ngumu kwakeUnafiki wa kiwango cha lami
Muuigizaji tu
Swali mbona amezeeka haraka sana nini shida?
Afya iko
Amechoka akili mwili na roho dah!
Inaitwa smoke camouflage yaani unajiona umevaa nguo kihisia lkn Jamii inakuona huko uchi,Jamii inakujua kuliko unavojijua ni sawa na kufanya matendo mbele ya ccctv ukiamini ccctv haikuoni.Kichwa mbuni mchangani.Tabia moja inayomtofautisha sana huyu na wengine wote waliomtangulia ni hii ya 'ubinafsi wake.'
Kila mara anataka watu wamwone katika mwonekano anaotaka yeye wamwone, au wamfanyie.
Hakuna kiongozi yeyote aliyewahi kuwa anajitangaza yeye ni hivi, au vile, au akiomba afanyiwe hiki au kile
Hii tabia inayo tafsiri yake kiisaikolojia.
Mara nyingi kujinyenyekesha huko anakutumia tu kwa mda, huku kiuhalisia akifanya mambo mengine kinyume kabisa na hicho anachojifanya kionekane.
Hili ni tatizo, na hakuna mtu wa kumwambia kuwa watu wanajua yeye alivyo, kwa hiyo aachane na hadaa zilizo wazi.
Lakini nisiwe mgumu kwake. Inawezekana sana kwamba moyoni anataka na anatamani awe kama hivyo anavyotaka watu wamwone kuwa ndivyo alivyo kiuhalisi, lakini kimatendo inamuwia vigumu kabisa kuyaishi hayo anayotamani kuwa.
Hata walevi wa pombe waliopitiliza na wale wa madawa ya kulevya, hujutia sana hali zao hizo nyakati mbalimbali, na huahidi kuachana nazo, lakini nguvu ya kuyashinda hayo maulevi inakuwa ni hafifu.
Sitaki huu mfano umhusu yeye, lakini hata wagonjwa wa akili (vichaa wa aina fulani); hali hii pia huwapata sana, wanakuwa kama wana 'personalities' zaidi ya moja. Inawezekana naye akawa huko?
Utokea Sana kama njia ya kufidia gap hasa ambalo hakulipata utotoni muhusika mfano kubezwa,kukosa Upendo utotoni,ili mtoto wako Hawa wadogo under 3yrs awe balance ukubwanj yatakiwa uwe na tabia ya kumkumbatia,kumbeba,kumhag hii ni tiba ya kumfanya ajiamini ukubwaniKwa kutumia prefix ya ‘Ka’ kwa maana ya kudogosha/kupunguza ukubwa wa kitu/ mtu na labda toka zamani akiwa bado mdogo mtu anaambiwa hivyo inaweza pia ika muathiri ki saikolojia mtu ktk makuzi yake kwa ndani yake na ita onekana katika matendo yake pindi mtu huyu akipata nguvu fulani na hasa za madaraka na uchumi na ataonyesha sasa yeye sio mdogo/dhaifu na akiamua kutumia vibaya ili kufidia dhihaka hiyo ya udogo/udhaifu wa toka akikua kuna maamuzi yake yatakuwa ya kushangaza either mazuri sana au mabaya pia maana hisia pia ndo zinatangulia zaidi kwa sehemu kubwa
Yesu alisema apukupigaye kulia mpe na kushoto
Tiba yatakiwa upate uponyaji wa ndani usamehe na kusahau yote uliyotendewa,utafute personal coach ambae ni positive thinker aishape mind yako,usome na uyaishi mafundisho ya person development,spiritual development,mafunzo kama yoga, meditation,ubudha, Scientology yanatibu yote kumshape mtu kuelekea perfection yaani kumuondolea mtu mahangaiko ya nafsi,ubinafsi,kiburi,dharau,hasira,kujikweza hizi zote ni tabia za mtu aliye na gap nafasi yaani brain yake haijabalance ni mtupu hivo ufanya matendo hayo negative ili apate balance.Ukishakuwa perfection utaijua universe na uhitaji external factors mfano pesa, umaarufu, utajiri,polisi, madaraka ili ujikamilishe,Ila yote ni lzm muhusika akubali binafsi kuamua kubadilikaTabia moja inayomtofautisha sana huyu na wengine wote waliomtangulia ni hii ya 'ubinafsi wake.'
Kila mara anataka watu wamwone katika mwonekano anaotaka yeye wamwone, au wamfanyie.
Hakuna kiongozi yeyote aliyewahi kuwa anajitangaza yeye ni hivi, au vile, au akiomba afanyiwe hiki au kile
Hii tabia inayo tafsiri yake kiisaikolojia.
Mara nyingi kujinyenyekesha huko anakutumia tu kwa mda, huku kiuhalisia akifanya mambo mengine kinyume kabisa na hicho anachojifanya kionekane.
Hili ni tatizo, na hakuna mtu wa kumwambia kuwa watu wanajua yeye alivyo, kwa hiyo aachane na hadaa zilizo wazi.
Lakini nisiwe mgumu kwake. Inawezekana sana kwamba moyoni anataka na anatamani awe kama hivyo anavyotaka watu wamwone kuwa ndivyo alivyo kiuhalisi, lakini kimatendo inamuwia vigumu kabisa kuyaishi hayo anayotamani kuwa.
Hata walevi wa pombe waliopitiliza na wale wa madawa ya kulevya, hujutia sana hali zao hizo nyakati mbalimbali, na huahidi kuachana nazo, lakini nguvu ya kuyashinda hayo maulevi inakuwa ni hafifu.
Sitaki huu mfano umhusu yeye, lakini hata wagonjwa wa akili (vichaa wa aina fulani); hali hii pia huwapata sana, wanakuwa kama wana 'personalities' zaidi ya moja. Inawezekana naye akawa huko?
Kwa hiyo john ni mnyenyekevu, asiyependa makuu alijaa upendo? Haamrishi mahasimu wake kutekwa, kuteswa na hata kuuawa? Hana vinyongo hata kuamrisha wabaya wake wafunguliwe kesi za uhujumu uchumi na utakatishaji pesa na upelelezi usikamilike? p. naomba unijibu
Biblia yasema." Kama tusipowasamehee wengine wanaotuudhi Baba yetu wa mbinguni naye hawezi tusamehee makosa yetu,nasi twasali bure".Kama utaki kuwasamehee wengine ya nn kujichosa bure kwenda ibadani maana ni sawa na kupoteza bure mda wako maana maombi yako yamefungwa na ni kelele tu mbele za Mungu.Watu wako ndani mwaka wa tano huu ushahidi haujakamilika familia zao zikiteseka.Unamfunga jela miaka 5 mtu pasipo ushahidi halafu unaenda kanisani kufanya nn kumridhisha mwanadamu au kumuongopea Mungu,Mungu na Jamii inakujua kuliko ujijuavo.Kama anamaanisha kuwa yeye ni kama wengine, aende hatua moja mbele. Awaone na wale waliofunguliwa kesi za uhujumu uchumi ni binadamu kama yeye. Ana uwezo wa kuwatoa kwa sababu waliofanya hivyo, ama walifanya kwa maelekwzo yake au kwa nia ya kumfurahisha yeye.
Wale ni binadamu kama yeye. Wana familia kama yeye. Wanaumia kama ambavyo yeye angeumia. Haiwezekani, haiwezekani kabisa, mhujumu uchumi na mtakatishaji fedha, ushahidi ukosekane zaidi ya miezi 6 halafu uendelee kuamini kuwa kukamatwa kwake kuliendana na kutendewa haki.
Hata akanena nini, hata akasali mchama na usiku, hata akahamishia na godoro kanisani, hata akatoa sadaka kubwa namna gani, maadamu kuna watu wanaoumia kwa uonevu na kwa maelekezo yake, yote hayo yataonekana ni bure na unafiki mkubwa.
Amrudie Mungu wa kweli kwa yeye mwenyewe kutenda haki na kuwaelekeza wateule wake ba vyombo vyote vya serikali vitende haki kwa wote, wakati wote.
Wanabodi,
Hili ni bandiko la hoja ngumu zinazoitwa abstract, na zinahusu kitu kinachoutwa psychoanalysis, mtanisamehe, sikijui Kiswahili cha abstract wala psychoanalysis, lakini inahusu kumsikiliza mtu kauli na kuibaini kama inatoka moyoni au mdomoni. Ili uweze kuibaini kauli ni ya kutoka moyoni lazima na wewe uwe na jicho la roho, hivyo kwa uzoefu wangu humu jf, issues za psychoanalysis zinachangiwa na watu wachache kwasababu ni abstract.
Sisi binadamu tumeumbwa na uwezo tofauti wa uelewa kuanzia kwenye kusoma maandishi hadi kwenye kusikiliza na kuelewa maneno yanayotamkwa na mzungumzaji kama ni ya kweli, yanatoka mdomoni tuu au moyoni, kumaanisha one just speaks to say something or one's speaks and real mean what he/she says.
Kwenye kusoma maandishi utaalamu wa kubaini psychological state of a writer wakati anaandika, unaitwa graphology, zamani kwenye barua za kuomba kazi sehemu nyeti, waombaji walitakiwa kuandika barua kwa mkono, na wataalamu wa graphology, walizipitia barua hizo na kuamua wamuite nani kwenye interview, na siku ya interview hatua ya kwanza ni kuandika jina lako kwenye karatasi kujisajili, mwandiko usipofanana, unaishia hapo hapo mlangoni.
Wataalamu wa kubaini genuineness ya kauli, kama mtu akitamka maneno fulani yanatoka moyoni au mdomoni tuu inaitwa intuition, hii intuition kila mtu anayo, ila wanawake wanakuwa more sensitive kuliko wanaume, ndio maana ukiwatokea, unapigwa kwanza kalenda ili wajiridhishe, na kusema ukweli, kwa sisi wanaume wa off side tricks, kuna wake zetu wengi wanajua tuu, tunavyopiga mipira ya kona ila hawasemi.
Ukimtamani msichana mrembo kwa tamaa tuu za mwili ili kumtumia, yaani lust and infatuation, utamwambia "I love you" na mtu ukimpenda msichana huyo kwa upendo wa kweli, true and genuine love, pia utamwambia "I love you"
Kati ya wawili hao kuna mmoja ni mkweli na mmoja ni muongo, huyu mrembo anayependwa, how will she know, kama anapendwa kweli au anatamaniwa tuu atumike na kutoswa?.
Kitu kinachoitwa female intuitive kitamhulisha huyu mwanamke nani ni mkweli na nani ni muongo.
Utabaini kwa kusikiliza sauti kutoka ndani yako, yaani listening to yourself ili usikie, the voices from within, the voices from inside by listening to yourself. Hata hivyo dada zetu wengi hupotea maboya ukiingia kwa gia kubwa, kwa kutumia universal language, wengi hukubali kulainika na kuingia kingi kirahisi japo moyoni wanaisikia kabisa sauti ikiwaambia wanadanganywa!. Na kwa wale mangurubange wa danga chee, wao wanaangalia tuu usawa wa salio na sio mapenzi hivyo hapendwi mtu bali...
Kutamka kitu kinachotoka mdomoni na sio moyoni kinaitwa paying lip services, unapofika mwaka wa uchaguzi wanasiasa wengi wanazungumza mengi kutoka mdomoni tuu na sio moyoni. Wanazungumza kile ambacho wananchi watapenda kusikia hata ikibidi kutoa ahadi za uongo ili kupata kura.
Elimu ya kufanya uchambuzi wa kauli za viongozi kama wanasema kweli au just paying lip services, inaitwa psychoanalysis scrutiny ya baadhi ya kauli za viongozi wetu.
Mimi ni miongoni mwa wana jf wachache ambao from time to time, huwa nawaletea psychoanalysis scrutiny ya baadhi ya kauli za viongozi wetu, miongoni mwa issue niliyoifanyia scrutiny kubwa humu ni issue ya makinikia, nikisema zile tume mbili zilifanya lip services ya kitu bwana mkubwa alichotaka kusikia, tukaja na bili ya ajabu ya dola bilioni 190 za kutosha Noah ya kila Mtanzania, ukweli ulipobainika, deni hilo liliyeyuka, tukaambulia kile kile kushika uchumba cha dola milioni 300 kinacholipwa ndani ya miaka 7!.
Leo nimeisikia kauli hii
"Mimi ni mwenzenu hapa, sijabadilika ni yule yule "KaJoni". Kauli hii japo ni maneno machache simple, lakini yamebeba maana kubwa sana, hii kauli ni kutoka moyoni, ambayo inaonyesha humbleness, simplicity and down to earth ambayo ina maana kubwa sana kwa mustakabali wa nchi yetu.
Kufuatia baadhi ya makabila kuwa na mijitu yenye miili mikubwa, mijitu ya miraba minne, akitokea mtu mwenye umbo dogo, jina lale linatanguliwa na neno "ka", "kapasiko", hivyo zamani enzi za utotoni, udogoni, kule kijijini Chatto, kumbe rais Magufuli alikuwa anaitwa "KaJoni" kujulisha kuwa jina lake ni Joni, lakini kutokana na kuwa na umbo dogo akawa anaitwa KaJoni.
Mtu anaye kuwa kwa kuitwa kwa prefix ya neno ambalo ni deamining kuonyeshea udogo au kudogoshwa akiukwaa ukubwa hadi kuwa ni rais wa nchi....
Kwa muda mrefu humu mimi nimekuwa nikichambua baadhi ya kauli za viongozi, kwenye kauli nzuri nazipongeza na kaulu mbaya nazikosoa.
Kauli hii niliyousikia leo, ya "Mimi ni mwenzenu hapa, sijabadilika ni yule yule "KaJoni", ni kauli yenye maana kubwa sana ya self realization of going back to his roots. Japo rais Magufuli alikuwa akizungumza na Wana Chato, kuwaeleza kuwa japo kwa sasa mimi ni rais wa JMT, ni mtu mkubwa sana, mwenye nguvu nyingi na mamlaka na madaraka makubwa kama rais wa nchi na Amiri jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, lakini kwa nyinyi wana Chato, mimi ni mwenzenu yule yule KaJoni, huu urais wa JMT, vyeo, madaraka, mamlaka, ni vitu vya kuja tuu na kupita, lakini mimi ni yule yule KaJoni ka Chato.
Katika baadhi ya analysis zangu kwa kauli za viongozi, niliwahi kusema baadhi ya viongozi wana kauli za kujiinua mno, kauli hizo za kujiinua zilizoanzia juu, zikapelekea viongozi wa chini nao kujiinua wakiwemo ma RC hadi vi DC navyo vimejiinua hadi masikio kutaka kuzidi kichwa kwa kuongea kwa vitisho, ukali, kugomba na kusweka watu ndani ikiwemo kutukana watu hovyo hata waliowazidi umri!.
Kitendo cha rais Magufuli kuwaeleza wana Chato, yeye ni yule yule KaJoni, inatuma ujumbe mzito wa kujishusha na kujinyenyekeza, humbleness, being down to earth, na kuongea kwa humility ambazo ni changes for the better ambazo nimekuwa nikizisema kwa mtu huyu kuwa "This man is changing for the better" tunaweza kushangaa kuja kufikia 2025, rais Magufuli aka end up kuwa the best president this country had ever had.
Mwelekeo wa kauli kama hizi kwa mwaka wa uchaguzi, they are expected, kwasababu huu ni mwaka wa viongozi kuwarudia wananchi kujinyenyekeza kuombea kura, wanasiasa wenye kauli za maudhi na majigambo ya jeuri ya mamlaka, wanapojinyenyekeza kuomba kura, ndiko paying lip services kwenyewe ninako kuzungumzia, lakini kwa kauli hii ya rais Magufuli, mimi kwa kuisikiliza nimeibaini, kuwa ni bonafide genuine imetoka moyoni na sio lip services, hivyo haitegemewi mtu ambaye ni humbleness hii na down to earthiness hii akaja kujiinua tena na urais kumpanda tena kichwani!
One KaJoni, always KaJoni!,
Hongera sana rais Magufuli, kujishusha kutoka Joni hadi KaJoni, utabarikiwa sana na Tanzania itabarikiwa.
Pasaka Njema
Pasakali.
Rejea za kauli mbalimbali za viongozi
Trends, Visions: Watanzania msitatizwe na kauli zake kuhusu Katiba, baada ya Nyerere, ni Magufuli ndiye ataacha legacy kubwa ikiwemo Katiba Mpya!. - JamiiForums
Nimetishwa, Kushitushwa na Kuogopeshwa na Kauli Hii ya Rais Magufuli!, Alimaanisha Nini?!. - JamiiForums
Hili la Polisi kuruhusiwa 'kuwanyanganya' silaha majambazi na kupandishwa vyeo limekaaje? - JamiiForums
Kauli huumba! Je, ni kweli Magufuli ni dikiteta? Kama ni kweli, ni kosa la nani kati yake na aliyetoa kauli hii? - JamiiForums
Angalizo kwa Wana JF: Tuwaepuke "Prophets Of The Doom", kauli zao huumba! - JamiiForums
Je, huu ni ufuatiliaji wa uwajibikaji au udhalilishaji kwa bullying na intimidation?. - JamiiForums
Awamu ya tano: Kuweni Wakali, msionee! Tangulizeni utu na ubinaadamu kwanza! - JamiiForums
Character Assassination ni Modus Oparandi ya Madikiteta Katili Wote Duniani! - JamiiForums
Magufuli is Getting Better and Better, He is Changing for The Better!. Hongera Sana! - JamiiForums
Tusilalamike tuu, kulaumu na kulaani kila kitu, kwenye mazuri tupongeze! Rais Magufuli is changing for the better!. - JamiiForums
This man is either a sadist or alimuua kibaka, akanywa bia kusherehekea? - JamiiForums
Je, kuna ukweli watu wafupi wana inferiority complex hivyo kukasirika sana wanapohisi kudharauliwa? - JamiiForums
Psychoanalysis: Superiority Complex ni Dalili ya Inferiority Complex!. Maneno Mafupi Vitendo Virefu. - JamiiForums
Psychoanalysis: Je, wajua dress code ya mtu ina represent the soundness of his mind? - JamiiForums
Psychoanalysis ya Waomba Msamaha Kwa Rais, Makamba Snr is the Next, Membe Will Never for Pride, Kiburi na Jeuri, Kinana Will Never for Integrity - JamiiForums
Kanda ya Ziwa na kuongea kwa ukali: Ukali wa Rais Magufuli ni asili tuu ya wasukuma, sio udikteta! - JamiiForums
Sasa mkuu Paskali, kwa utambulisho wa Kisukuma alichemka kidogo. Alipaswa kusema " Mimi ni kale kale KaJoni" haikuwa sahihi kusema "ni yule yule". Hii kwa kweli Usukumani tunaitumia sana na wakati mwingine huwa inanitia matatani ninapotoa utambulisho kwa watu wa makabila mengine maana wengi wao wana maumbo madogo sasa huwa napenda sana kuweka hiyo prefix ya " ka" kwenye jina la mhusika! Itabidi watuvumilie tu maana hakuna namna!"Mimi ni mwenzenu hapa, sijabadilika ni yule yule "KaJoni". Kauli hii japo ni maneno machache simple, lakini yamebeba maana kubwa sana, hii kauli ni kutoka moyoni, ambayo inaonyesha humbleness, simplicity and down to earth ambayo ina maana kubwa sana kwa mustakabali wa nchi yetu.
Ahsante ndugu kwa kufikiwa na kuupokea ujumbe.Wewe ni mpumbavu.
Ni wale wale, kichaka chao kimojaIDD Amini na JPM niwatu tofauti au mtu mmoja
Eeee ....eh?Huwa namwazia sana Kabendera maskini..ova "KaJohn alipokwa demu wake jamani akaamua kumkomoa