Mimi ni nani na ni mtu wa aina gani hilo ndio swali ambalo huwa najiuliza

Mimi ni nani na ni mtu wa aina gani hilo ndio swali ambalo huwa najiuliza

NOMA SANA...

Nipo kama wewe tu.....

Are you interested in reading books??
 
Hebu soma soma kidogo ( sio shule, vitabu, majarida, documentary na makala mitandaoni), pia ukiweza safiri safiri utapata uelewa mkubwa wa mambo na dunia....utagundua kinachokusumbua ni kuwa bado una exposure ndogo.
 
Unajijua tayali kwa maelezo yako mkuu jebu tuliza hakili kidogo utagundua jibu lipo hapo hapo kwenye maelezo.yako

Japo Mimi naweza kukuongezea kwa kusema wewe nimtu ambaye

Una hakili mpaka hakili inakuendesha sometimes but
 
Hebu soma soma kidogo ( sio shule, vitabu, majarida, documentary na makala mitandaoni), pia ukiweza safiri safiri utapata uelewa mkubwa wa mambo na dunia....utagundua kinachokusumbua ni kuwa bado una exposure ndogo.
Au sio daah ila Jf🤣🤣🤣
 
SAFI SANA MKUU

Thats how i kill time... sina shobo na watu, changamoto ni type ya kazi nafanya inanikutanisha na watu sana na inademand kuongea, kuna muda nawaza kuacha sema kisanga ni kupata kaz nyngne..
 
Back
Top Bottom