Mimi ni nani na ni mtu wa aina gani hilo ndio swali ambalo huwa najiuliza

Fatilia kuhusu

Temperament

Andika types of temperament and its features

Tumia AI - akili mnembe you will get the right answer easily
 
Mkuu kwa hii comment nmeishia hapa maana yeye mwenyew anajiita melancholic. Atafte tu sanguine wataendana saana kwa wanaojua tabia ya hawa watu huyu anaishi kwenye uhalisia
Shukrani mkuu umenielewa vema
 
SAFI SANA MKUU

Thats how i kill time... sina shobo na watu, changamoto ni type ya kazi nafanya inanikutanisha na watu sana na inademand kuongea, kuna muda nawaza kuacha sema kisanga ni kupata kaz nyngne..
It's true, brother, our life challenges us to some extent, but that's how we were created, we feel very safe when we're alone and we enjoy it.
 
Mynd177 sometime mpaka madem zetu tunaona kama wanatuchanganya tu wakati feeling ishachanganya kwenye kichwa huwa atutaki mtu mbele yetu hii hali inanitesa kwa upande mwingine ila cwez kujibadilisha
 
Afya ya ni janga kwa taifa letu, ilitakiwa wataalamu wa afya wapite kila nyumba kuwapima raia ifanyike kama sensa.
 
Upo kama mimi sema tuna mimi ni mtu wa watu ni mcheshi hadi kwa maadui zangu
 
Mynd177 sometime mpaka madem zetu tunaona kama wanatuchanganya tu wakati feeling ishachanganya kwenye kichwa huwa atutaki mtu mbele yetu hii hali inanitesa kwa upande mwingine ila cwez kujibadilisha
Mkuu kwa namna ninavyojijua mimi, sidhani kama naweza kuwa na mahusiano, maana nasikiaga watu wanaongea na mademu zao wanaulizana umekula? nimekumiss nk. nk. nk... this sounds like a waste of time to me.. tena ukizingatia siwez hata kupiga stor na vidume wenzangu hao mademu ndo usiseme.....
 
ila

ila kuchangia Jf unaweza
 
Yes na ndio maana tunaambiwa tinaringa au tunajiskia but you can't do the stupid thing of forcing yourself to be like other people
 
Back
Top Bottom