Mimi ni nani na ni mtu wa aina gani hilo ndio swali ambalo huwa najiuliza

Mimi ni nani na ni mtu wa aina gani hilo ndio swali ambalo huwa najiuliza

basi watu wakimya wanajikutaka na akili nyingi kumbe n upunguani
Njoo na evidance za huo upunguani na usilazimishe watu wafanane nawewe mpumbavu mmoja na utoe tabia zako zakike humu shame
 
Njoo na evidance za huo upunguani usilazimishe watu wafanane nawewe mpumbavu mmoja
wewe n punguani unaye jihisi una akili sana, huo ukimya wako umegundua nini cha maana

acha kukaa peke yako ili upige punyeto jichanganye na watu mkuu
 
Mimi ni nani na ni mtu wa aina gani hilo ndio swali ambalo huwa najiuliza mara nyingi ninapokuwa peke yangu.

Mimi ni mzaliwa wa mkoa wa mara ni mtanzania halali ila tabia zangu zimekuwa za kipekeee sana toka nipo mdogo nimekuwa ni mtu wa kutafakari sana muda mwingi napenda kukaa peke yangu na kusoma vitabu na mara nyingi napenda kukaa kwenye fukwe za BaharI peke yangu ndio starehe yangu kubwa.

Sina marafiki zaidi nina watu wa kujuana nao tu labda majirani zangu, au wafanyakazi wenzangu sihitaji marafiki maisha yangu nayaona ni mazuri sana kuwa peke yangu.

Mimi Ni mpole huwa siongei sana japo huwa ninapenda kucheka sana ila ukinikwaza hasira zangu huwa ni mbaya huo ugomvi unaweza kuishia katika majengo ya serikali. Na kuchukizwa kwangu pia huwa sio rahisi.

Sipendi mpira wa kibongo kabisa na sishabikii simba wala yanga yani nikiona watu wanabishania kuhusu mpira wa bongo huwa nawashangaa mno.
Ninapenda mpira na ninashabikia timu moja tu duniani ni Arsenal pekee na mapenzi yangu kwa hii timu ni makubwa mno hata ikicheza saa 9 usiku nitaamka niitizame. sijui lolote kuhusu Madridi wala Barcelona, bayern au Juve pia huwa nawashangaa watu kuwa na timu mbili au 3 unakuta mtu bongo let say anashabikia simba, uingereza anashabikia liverpool ukienda uhispania anashabikia labda barcelona huwa nawashangaa sana hawa watu hivi uwezo wa kupenda timu mbili au tatu mnautoa wapi.

Pia sio mpenz wa bongo freva ya wapiga kelele bali ni muumini wa bongo freva zilizotungwa kwa IQ kubwa ambazo zipo Emotional kama penati ya mwisho ya Nash Mc, Sihitaji marafiki na Propaganda ya Fid Q, Tafakari ya suma mnazaleti, Sirudi tena na nishauri za mabeste Miss tanzania ya solo na ngoma zote za roho 7.

Na kingine nasikiliza zaidi miziki ya trance na Electronic dance hasa ambazo zipo emotional sijui labda sababu muda mwingi napenda kutafakari na waandaji wa hizi ngoma kwenye swala la emotional wako vzr mno. huu miziki nimeanza kuupenda nikiwa darasa la pili na mpaka sasa nina kama ngoma 3000 za trance na electronic dance yani simu yangu imejaa hizo ngoma sijui chochote kuhusu zuchu, diamond au mboso

Watu kama akina Craig Conelly, Cristina Novelli, Gareth emery, Ferry tayle, Ana criado , Emma hewitt, Dash berlin Ben gold, Andrew rayel na wengineo wengi hao ndio wanamuziki wangu bora.
Nimekuwa mtu wa kutafari sana mpaka naona nywele zimeanza kuisha kichwani najiona ni mtu wa kipekee sana na kuna mtu aliwahi niambia kuwa nina akili nyingi japo sikufanikiwa kusoma sana. Lakini najiona ni mtu mwenye utashi mkubwa sana kiac kwamba nineshindwa kupata watu wa kariba yangu
Mkuu mtafute Lucas Mwashambwa anaweza kukusaidia kwani akili zake ni kama zako
 
wewe n punguani unaye jihisi una akili sana, huo ukimya wako umegundua nini cha maana

acha kukaa peke yako ili upige punyeto jichanganye na watu mkuu
we unadhani tukikaa peke yetu tunafanya huo upuuzi ona huyu ndezi
 
Unajijua tayali kwa maelezo yako mkuu jebu tuliza hakili kidogo utagundua jibu lipo hapo hapo kwenye maelezo.yako

Japo Mimi naweza kukuongezea kwa kusema wewe nimtu ambaye

Una hakili mpaka hakili inakuendesha sometimes but
Mkuu wewe unajua kiswahili au lugha gani kwa usahihi?
 
acha kujichulia sheria mkononi mkuu
Huna akili mzee sikushangai sababu watu kama wewe huwa mnawazo mafupi mafupi kama hayo uliyoyazungumza so cwez kubishana nawewe sababu atufanani kila la kheri
 
Huna akili mzee sikushangai sababu watu kama wewe huwa mnawazo mafupi mafupi kama hayo uliyoyazungumza so cwez kubishana nawewe sababu atufanani kila la kheri
mimi siwezi fanana na mnyonga nyani, mzee wa kukwea mnazi kwa mkono mmoja

hakuna cha una akili nyingi sijui unasoma vitabu sana ww ni mpiga nyeto tu
 
mimi siwezi fanana na mnyonga nyani, mzee wa kukwea mnazi kwa mkono mmoja

hakuna cha una akili nyingi sijui unasoma vitabu sana ww ni mpiga nyeto tu
Ukimya ndio jibu la watu wajinga wajinga kama wewe am out!
 
As far as i know ni kati ya unazo sanaaa au hauna kabisaa

Ingawa majority of kinda clients wanakua hawana kabisa


SJASEMA HAUNA AKILI MKUU
 
WEKA WI-FI ZA T¡G0 ZINA SPEED KUBWAA MNOO!
HUU SIO MDA TENA WA KUWAZA KUISHIWA NA DATA, ROUTER NI BEI NAFUU SANA!

⚫KWENYE BISASHARA YAKO WEKA WI-FI

⚫KWENYE SHULE WEKA WI-FI
⚫KANISANI WEKA WI-FI

⚫KAZINI WEKA WI-FI
⚫KWENYE KAMPUNI WEKA WI-FI

⚫NYUMBANI KWAKO WEWE NA FAMILIA YAKO WEKA WI-FI
⚫CHUONI WEKA WI-FI

⚫UNA SECURITY CAMERA FUNGA WI-FI

⚫SEHEM ZINGINE AMBAZO SIJAZITAJA WEKA WI-FI

TUMIA DATA UNLIMITED, YANI BILA KUWAZA KUA GB ZITAISHA?

NJOO NIKUPE ROUTER ZENYE UWEZO MKUBWA TECNOLOJIA YA 5G SPEED HADI 200mbps, NA UNAWEZA KULIPA KIDOGO KIDOGO !

MKOA WOWOTE ULIPO DELIVERY NI FREEE!!

GHARAMA NI NAFUU, SPEED KUBWAA (pia laini pekeyake bila router nakuwezeshea bando unlimited kwa bei poa)
NICHEKI: 0717700921
 
Back
Top Bottom