Mimi ni nani?

Mimi ni nani?

Habari JF members..

Nina issue huwa inanisumbua akili kidogo kuhusu Mimi mwenyewe.

Mimi Huwa nina uwezo wa kuhisi kifo kwa mtu nikimuangalia. Yaani kuna hali fulan inaniambia huyu mtu hana muda mrefu atakufa na hii hali huwa inatokea mara chache sana.

Kitu kingine, ni ndoto zangu Huwa naota kitu kinakuja tokea kweli ila sio ndoto zote ni ndoto chache sana.

Au nikifanyiwa kitu kibaya na hicho kitu kikaniumiza sana kuliko kawaida basi nikiongea neno lolote kwa yule aliyenifanyia ubaya basi lazima litamkuta jambo ambalo si zuri.

Je, hii Hali ni ya kawaida au?
hiyo ni hali ya kawaida sana
 
Pole. Tatizo hilo ni uchawi wa kurithishwa
Wewe Una roho ya kichawi. Aina hii ya kichawi haihitaji Tunguli Bali NI roho Tu unawekwa nayo wakfu tangu ukiwa mdogo
Either na Mama au Bibi Unakuwa mrithi wa agano la flani la kichawi kutoka Kwenye familia Na hii NI roho kutoka kuzimu
Kwa hiyo unaunganishwa na kuzimu tangu utotoni Kwa kuwekwa Wakfu tu. Mtafute Yesu mapema akuondolee hiyo roho akupe Roho wake Mtakatifu
 
Hii ni uwezo wa kuwa na seeing badala ya looking

Unakuwa unaona na sio kutazama

Mfano ukimuona MTU unakuwa unajua huyu yupo OK au atakufa recently

Ni uwezo wa kuona wengine husema maono

Kuna utofauti wa kutazama na kuona, sasa wewe unaona.

Kuhusu kutamka nano baya likampata MTU , unabidi kujua nguvu ya binadamu IPO katika neno lake neno ndo linaendesha maisha

Hivyo neno linakuwa na Energy au nishati positive au negative .

Katika kumtakia MTU aliyekukosea neno baya likampata hii huwa ipo zaidi kwa yule aliyekukosea kushindwa kubalance nishati zake na kuwa guilt muda mwingi.

Hitimisho.
Nguvu yako kila MTU anayo hiyo nguvu Ila baadhi ya watu wengine hawapo enlightenment na wengine wapo enlightenment

Wengine wanaona na wengine wanatazama

Wengine wanatumia neno lao vzr na wengine wanatumia neno lao vibaya.

Infinite treasure kila MTU anayo.
 
pumbavu, aliyekuambia tapeli ni nani? Kuwa na adabu
Uzuri mwamposa ni tapeli smart anakutapeli huku umeridhika mwenyewe kama wewe ulivyo sahivi ila utakuja kugundua mbele ya safari
 
Unabezwa sana ila nipende kusema hauko pekee yako hivyo usiringe rafiki yangu .
Mimi mwenzio uwezo huo ninao mpaka sasa ni watu 35 wamefariki chini yangu ila kati yao 28 moyo ulisema hawaponi ilihali hali zao hazikuwa za kutisha mpaka kuhisi kifo .

Mwenzio nikikaa pekee yangu watu wasipokuwepo mara nyingi kuna harufu inanijia ghafla na kupotea hii harufu ilinichukua muda kujua kuwa ni maiti inanuka .
Nikihisi hiyo harufu niwapo mtaa wowote basi lazima msiba utokee .

Mimi nahisi mimi ni wawili siko pekee yangu maana kuna mtu huhisi anaongea moyoni kwangu niwapo popote hata bar na kisemachwo moyoni basi hakika utokea .

Wiki mbili nyuma alikuja mdau mmoja tunalewa naye sana nikiwa niko bar na jamaa kuna namna moyoni naambiwa mkimbie huyu jamaa leo sio mwema kwako ila nikapuuza .

Badaye kidogo nililewa sana akanichukulia shilingi zangu na kutaka kunifanyia unyampusi ila nguvu ya umma ilisimama na mimi nikiwa sielewi lolote .

Nikiwa sehemu ninao uwezo wa kuhisi ujio wa mtu pasina kuambiwa .

Ndugu itoshe kusema mimi na wewe tunaweza kubond naomba tuoane maana nahisi wote tunatoka sayari moja na tuna nguvu mfanano .
Karibu PM
 
Nilijua tu we ni mwanamke.... Viumbe tapeli sana nyie... Rafiki za akina shetani....
Ni haki yako kuwa na hcho kipaji...
 
Nakusanua tu Bangi fundo moja ikaa kichwani kwenye ubongo miaka .......
 
Back
Top Bottom