hiyo ni hali ya kawaida sanaHabari JF members..
Nina issue huwa inanisumbua akili kidogo kuhusu Mimi mwenyewe.
Mimi Huwa nina uwezo wa kuhisi kifo kwa mtu nikimuangalia. Yaani kuna hali fulan inaniambia huyu mtu hana muda mrefu atakufa na hii hali huwa inatokea mara chache sana.
Kitu kingine, ni ndoto zangu Huwa naota kitu kinakuja tokea kweli ila sio ndoto zote ni ndoto chache sana.
Au nikifanyiwa kitu kibaya na hicho kitu kikaniumiza sana kuliko kawaida basi nikiongea neno lolote kwa yule aliyenifanyia ubaya basi lazima litamkuta jambo ambalo si zuri.
Je, hii Hali ni ya kawaida au?
JoNi hali ya kawaida hasa ukiwa muangaliaji sana wa fantasy movies...
Punguza kuangalia movies za aina hiyo,haya ni maisha halisi
pumbavu, aliyekuambia tapeli ni nani? Kuwa na adabuInawezekana una kipaji cha utapeli kama Mwamposa ingia kazini
Uzuri mwamposa ni tapeli smart anakutapeli huku umeridhika mwenyewe kama wewe ulivyo sahivi ila utakuja kugundua mbele ya safaripumbavu, aliyekuambia tapeli ni nani? Kuwa na adabu
kama ni tapeli kwa nini asikamatwe?Uzuri mwamposa ni tapeli smart anakutapeli huku umeridhika mwenyewe kama wewe ulivyo sahivi ila utakuja kugundua mbele ya safari
Kwasababu ujinga ni wakokama ni tapeli kwa nini asikamatwe?
Ungekuwa dawa ungeua siku nyingiHahahaha
Shida nini