Mimi ni nani?

Ulimhisia Gardner?
Umejuaje? Kuna video nilimuona yeye na lady jay Dee..walikuwa wamekaa lady lay Dee akampa zawadi gadner akapokea huku anatabasamu...Kila nikimuangalia gadner naona Hana maisha tena Yan amefika mwisho...Yan Kuna energy inaniambia huyu si wa dunian tena. Na hiyo video niliiona Instagram mwaka huu, gadner akiwa mzima wa afya kabisa
 
Duh kama ndoto zako zinatokea kweli angalia usije ukaota unaliwa tigo, maana ndoto nazo hazina adabu sometime.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…