"Mimi ni serikali, Mimi sio chadema" Samia unalipeleka wapi taifa UKIWA chadema hurusiwi kukemea? Msukuma bhana

"Mimi ni serikali, Mimi sio chadema" Samia unalipeleka wapi taifa UKIWA chadema hurusiwi kukemea? Msukuma bhana

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
6,408
Reaction score
12,100
Hii kauli ya msukuma kujiita serikali imetoka wapi? Kwa hiyo UKIWA ccm wewe ndo serikali sio?
King msukuma kujiita ccm na kumtamkia mwekezaji yakuwa yeye sio chadema Ina maana Gani?
UKIWA chadema hurusiwi kukemea mwovu?
Pamoja na yaliyotokea 29. Bado ccm Ina viongozi wapumbavu wanao toa kauli za kuligawa Ili taifa je Nini kifanyike?
 
"unanijua Mimi ni Nani"
Kauli hii umerudi tena awamu hii ya Maza kila MTU ni usalama wa taifa
 
Inaonekana mwekezaji ndiyo mwenye makosa.Haiwezekani kila kiongozi wa hapo alikuwa hajui ni kivipi huyo mwekezaji alijipatia hilo eneo.kuanzia mwenyekiti wa mitaa,diwani,mkurugenzi,mkuu wa wilaya,baraza la ardhi pamoja na mkuu wa mkoa wote hawajui huyo mwekezaji kalipataje.
 
CCM ndiyo serikali na serikali ndiyo CCM ukiwa unataka kuiondoa CCM jua ni kama unataka kupindua Dola utakabiliwa kwa risasi za moto

Mambo mabaya yakifanywa na serikali, CCM huwa inajitoa na kuikana serikali katukatu...

Vivyo hivyo CCM ikifanya madudu, serikali huwa inajitenga mbali kabisa...

Lakini mambo yakiwa sawa huwa 2anaungana na kukamdamiza kila anayeonesha kukinzana nao...
 
Inaonekana mwekezaji ndiyo mwenye makosa.Haiwezekani kila kiongozi wa hapo alikuwa hajui ni kivipi huyo mwekezaji alijipatia hilo eneo.kuanzia mwenyekiti wa mitaa,diwani,mkurugenzi,mkuu wa wilaya,baraza la ardhi pamoja na mkuu wa mkoa wote hawajui huyo mwekezaji kalipataje.
Nawewee kwa akili yako unaamini kitu hicho?
 
Back
Top Bottom