King msukuma amepigwa ngumu ya jicho na mwekezaji. Huyu mwekezaji achangiwe bastola anaweza kutusaidia kutuulia maccm .Dkt. Msukuma akiwa katika ubora wake.
CCM ndiyo serikali na serikali ndiyo CCM ukiwa unataka kuiondoa CCM jua ni kama unataka kupindua Dola utakabiliwa kwa risasi za moto
Nawewee kwa akili yako unaamini kitu hicho?Inaonekana mwekezaji ndiyo mwenye makosa.Haiwezekani kila kiongozi wa hapo alikuwa hajui ni kivipi huyo mwekezaji alijipatia hilo eneo.kuanzia mwenyekiti wa mitaa,diwani,mkurugenzi,mkuu wa wilaya,baraza la ardhi pamoja na mkuu wa mkoa wote hawajui huyo mwekezaji kalipataje.
Ndiyo naaminiNawewee kwa akili yako unaamini kitu hicho?
Niliwahi kumuona mzee mkuchika anakishangaa kitu ambacho kilikuwepo siku zote tena alikuwa anakiona na kukiishi hata kabla Hajawa mbunge na waziriNdiyo naamini