Mimi ni Simba, ila imani za kishirikina ndio zinazitesa Simba na Yanga

Uhuru24

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2015
Posts
4,523
Reaction score
5,159
Tutakuwa watu wa porojo tu na kuuwacha ukwel yanga na simba zinapokutana mpira wao wote huchezwa nje kwa ushirikina kinachokwenda pale ni kukamilisha ratiba kwenye macho ya watu.

Wewe kataa au kubali huo ndio ukweli ni hichi ndio kilichotokea tarehe 8/03 ndio kinachoanya gumzo kuwa kubwa ila ukweli unajulikana nini kimepelekea mpaka tulipofikia.

Yanga walikwenda kuloga uwanjani wakiamini kwamba tunaendelea na utamaduni wetu kwamba kila mtu atafanya mazoezi mazoezi anapopajua, sasa Simba wakaona ili tushinde lazima tukategue mauchawi ya pale na sisi tunaweka ya kwetu.

Hivyo muathilika mkubwa alikuwa Yanga ambae watu wamekuwa wameshatindua na kuweka vitu vipya, sasa nini kifanyike hawa watu kwa vyovyote vile simba wasifanye mazoezi uwanjani(wasiingie kabisa) japo walijua kwamba kanuni zinasemaje, na kama unavyojua simba na yanga kwenye kulipa fedha juu ya uvunjaji wa kanuni kwao jambo dogo sana.

Mimi nilianza kujua kama hawatoingia uwanjan pindi simba ndio wanakwenda gari linapita pale Kariakooo wale wadau wa yanga akatuambia hawa uwanjani hawaingii kama utani na kweli ndio kilichotokea.

Yanga amedhamini team 8 ili kumuwekea njia ya ubingwa, simba nae hakuwa fala akashika baadhi ya wapukiza filimbi, kwa hiyo ikawa asubuhi unaongoza wewe jioni anaongoza mwenzio yaan bampa to bampa.

Mechi ya March 8 ndio ilikuwa inatoa bingwa kwasababu zilizobakia mmoja kadhamini zote mwingine kadhamini wamiliki wa filimbi hivyo huko hakukuwa na shida.

Yanga wakiamini hawa simba watakuw wanyonge watapiga kelel kwa kutofanya mazoezi lakini kesho watakuja kucheza huku yanga ataadhibiwa kwa kuvunja kanuni na huku tayari anauhakika na ubingwa.

Baada ya kuona simba hana nafasi ya kuingia na kufanya udamwi dambwi wa tunguli na walishachunguli wakaona hapa ni kujilipua kutembea na kanuni imevunjwa na hatuchezi na kweli wamba wamejilipua haswa na ikafika lilipo sasa hili suala kwani na wao wanamini ushindi huu ndio uhakika wa kombe.

Tuje kwenye kelele, ukweli mchungu yanga hawana hadhi yeyote ya kuusemea mpira wetu kwa sababu wao ndio chanzo cha kunufaika na uongozi wote wa mpira huu, hivyo imani yao yanga inawatuma hata wakikubali kucheka kinarudi kilekile mgeni lazima afanye mazoezi ndio yanga wanachokiona kwamba hatutoki hivyo basi kutafuta slogan ya kwenda nayo kama vile hatuchezi na mengine mengi.

Simba imefunga mianya yote, simba imekataa unyonge wote ambao waliomuwa wanafanyiwa kama wao sio wakubwa w nchi hiii.

Yanga wakaja kutegea kwenye viporo vya simba wakiamini kwamba angalau wataangusha hata kimoja, hatimae wakaona marefa wanavyopeta, kila wakisema hiki kinachokuja tunaona yakutokea ndio kwanza asubuhi utasikia hatuchezi.

UKATAE UKUBALI HUO NDIO UKWELI ULIOTUFIKISHA HII LEO.

Simba angeachwa point tano na yanga haya yote yasingetokea, simba angekubali unyonge haya yote yasingetokea simba kaamua kuonyesha na yeye ni nani ndio hapa tulipo.

SIMBA NA YANGA NDIO WANUFAIKA WAKUBWA WA MADHILA YOTE WA MPIRA HUU, NADHANI MSIMU UJAO TUTAKUWA NA KANUNI STRONG
 
Yanga wana hoja, wasikilizwe. Tuna viongozi wa ccm na tff wa hovyo sana.
 
Shida unazoziona Simba na Yanga ndio shida zilizopo CCM, muda kuna watu umeshawaacha lakini hawataki kukubali matokeo yake ni kuleta shida kwenye jamii.

Simba, Yanga, na CCM zimejaa watu wenye fikra za kizamani na wasiokubali mabadiriko, bado wanaamini bila wao mambo hayataenda, kumbe wao ndio wanaochelewesha mambo yasiende mbele kwa Kasi.
 
Mechi ya saa kumi na moja jioni inatangazwa na wahuni saa sita mchana rti hakuna mechi hao jamaa wapo sahihi wasicheze hiyo mechi..
Yanga wapo kuwanyoosha TFF na si kuiogopa sijui Simba kwa mpira upi wazee au wachezaji gani pale muda wote wanajivunja tu au kurudisha boko kwa kipa na mkiona mmecheza vibaya mnapigana Uwanjani pana Timu hapo kweli.
 
Tutakuwa watu wa porojo tu na kuuwacha ukwel yanga na simba zinapokutana mpira wao wote huchezwa nje kwa ushirikina kinachokwenda pale ni kukamilisha ratiba kwenye macho ya watu.

Wewe kataa au kubali huo ndio ukweli ni hichi ndio kilichotokea tarehe 8/03 ndio kinachoanya gumzo kuwa kubwa ila ukweli unajulikana nini kimepelekea mpaka tulipofikia.

Yanga walikwenda kuloga uwanjani wakiamini kwamba tunaendelea na utamaduni wetu kwamba kila mtu atafanya mazoezi mazoezi anapopajua, sasa Simba wakaona ili tushinde lazima tukategue mauchawi ya pale na sisi tunaweka ya kwetu.

Hivyo muathilika mkubwa alikuwa Yanga ambae watu wamekuwa wameshatindua na kuweka vitu vipya, sasa nini kifanyike hawa watu kwa vyovyote vile simba wasifanye mazoezi uwanjani(wasiingie kabisa) japo walijua kwamba kanuni zinasemaje, na kama unavyojua simba na yanga kwenye kulipa fedha juu ya uvunjaji wa kanuni kwao jambo dogo sana.

Mimi nilianza kujua kama hawatoingia uwanjan pindi simba ndio wanakwenda gari linapita pale Kariakooo wale wadau wa yanga akatuambia hawa uwanjani hawaingii kama utani na kweli ndio kilichotokea.

Yanga amedhamini team 8 ili kumuwekea njia ya ubingwa, simba nae hakuwa fala akashika baadhi ya wapukiza filimbi, kwa hiyo ikawa asubuhi unaongoza wewe jioni anaongoza mwenzio yaan bampa to bampa.

Mechi ya March 8 ndio ilikuwa inatoa bingwa kwasababu zilizobakia mmoja kadhamini zote mwingine kadhamini wamiliki wa filimbi hivyo huko hakukuwa na shida.

Yanga wakiamini hawa simba watakuw wanyonge watapiga kelel kwa kutofanya mazoezi lakini kesho watakuja kucheza huku yanga ataadhibiwa kwa kuvunja kanuni na huku tayari anauhakika na ubingwa.

Baada ya kuona simba hana nafasi ya kuingia na kufanya udamwi dambwi wa tunguli na walishachunguli wakaona hapa ni kujilipua kutembea na kanuni imevunjwa na hatuchezi na kweli wamba wamejilipua haswa na ikafika lilipo sasa hili suala kwani na wao wanamini ushindi huu ndio uhakika wa kombe.

Tuje kwenye kelele, ukweli mchungu yanga hawana hadhi yeyote ya kuusemea mpira wetu kwa sababu wao ndio chanzo cha kunufaika na uongozi wote wa mpira huu, hivyo imani yao yanga inawatuma hata wakikubali kucheka kinarudi kilekile mgeni lazima afanye mazoezi ndio yanga wanachokiona kwamba hatutoki hivyo basi kutafuta slogan ya kwenda nayo kama vile hatuchezi na mengine mengi.

Simba imefunga mianya yote, simba imekataa unyonge wote ambao waliomuwa wanafanyiwa kama wao sio wakubwa w nchi hiii.

Yanga wakaja kutegea kwenye viporo vya simba wakiamini kwamba angalau wataangusha hata kimoja, hatimae wakaona marefa wanavyopeta, kila wakisema hiki kinachokuja tunaona yakutokea ndio kwanza asubuhi utasikia hatuchezi.

UKATAE UKUBALI HUO NDIO UKWELI ULIOTUFIKISHA HII LEO.

Simba angeachwa point tano na yanga haya yote yasingetokea, simba angekubali unyonge haya yote yasingetokea simba kaamua kuonyesha na yeye ni nani ndio hapa tulipo.

SIMBA NA YANGA NDIO WANUFAIKA WAKUBWA WA MADHILA YOTE WA MPIRA HUU, NADHANI MSIMU UJAO TUTAKUWA NA KANUNI STRONG
Kwa kujua yote hayo, yumkini uko kwenye kamati ya ufundi (vigagula) wa simba
 
Kolo unajitekenya na kucheka mwenyewe,yanga walisha fahamu kiongozi wa serikali ambaye ni shabiki la kolo alipiga simu il geti lisifunguliwe kisha mechi ihairishwe kiujanja ujanja.
 
Hakuna mpuuzi huyo wakupiga simu kutoka simba, simba inajitambua haina ubabaishaji.

Wewe endelea kumuogopa simba, maana huna hoja kule CAS ungekuwa na hoja ungepata ushindi, Mpanzu anawatesa sana
 
Yanga wana hoja, wasikilizwe. Tuna viongozi wa ccm na tff wa hovyo sana.
Wakati wananufaika Yanga walikiwa wapi kukemea wao wanavyonufaika?? Au simba angepoteza viporo viwili unafikiri Yanga wasingecheza???? Tuache ushabiki tutumie hata robo ya ubongo tuliopewa na Mwenyezi Mungu, huku unacheza ila mechi ya simba huna imani na bodi ya ligi hizo unazocheza nyingine zinaratibiwa na nani??? Yanga msikubali vijana wadogo kama kina kamwe wawaendeshe ki fikra
 
Nilisikia watu wawili mmoja anasema KAZI NA SALA mwingine anasema KAZI NA DAWA sasa sijajua nani mmoja kati yao anatumia Falsa yao
 
Inatakiwa kanuni za kimafia...ukipita mlango usio.rasmi, faini milioni 100 na unakatwa pointi 3...uone kama Kuna timu zitakua na usenge huu wa kuvimbia mamlaka eti unawapa amri pumbavu...
 
Chamdeko
1749539935453.jpg
 
Kwa kujua yote hayo, yumkini uko kwenye kamati ya ufundi (vigagula) wa simba
Yanga ni timu mbovu kinachowasaidia ni hongo kudhamini timu nane hapo uhakika wa pointi 48 za BURE .na uchawi tu. Hakuna kingine. KWANINI MSIONDOKE LIGI KUU...MKACHEZE LIGI NYINGINE...MBONA AL HILAL WAMEWEZA....nendeni mkacheze ligi nyingine huko hakuna wa kuwabembeleza wapuuzi kabisa
 
Hakuna mpuuzi huyo wakupiga simu kutoka simba, simba inajitambua haina ubabaishaji.

Wewe endelea kumuogopa simba, maana huna hoja kule CAS ungekuwa na hoja ungepata ushindi, Mpanzu anawatesa sana
Simba tumempiga mara nne mfululizo hatuna cha kumuogopa.
 
Back
Top Bottom