Mimi ni Simba ila mashabiki wenzangu ni mambumbumbu ila Mimi nimegoma kuwa mbumbumbu

Mimi ni Simba ila mashabiki wenzangu ni mambumbumbu ila Mimi nimegoma kuwa mbumbumbu

Arsenal Gunner

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
10,891
Reaction score
17,718
Mwaka wa nne hatuna hata kombe la kahawa na tumeambulia vichapo vikali kutoka Kwa watani wetu Yanga Goli 5 na kufungwa mechi 5 halafu mbumbumbu wenzangu mmekua mbumbumbu kiasi kwamba tulikua tunamtukana Mangungu kwamba katyuza halafu ghafla tukasahau Kwa chawa wakina kisugu na kina mzarami wakishirikianana na kina K Mziwanda kutetea uongozi wa Mangungu nasema hivi na msimu huu hatuna chetu huo ndio ukweli mchungu ikitokea Yanga akacheza hiyo mechi hatuambulii hata sara
 
Siwezi kutulia mpaka nikuwowe....
Na ulivyo na kalio kama la mwijaku mambo ya kyerw hayo
Screenshot_20250605-194516.png
 
Wewe njoo tuu nikubalie nikuoe yani nazi nitakukunia kazi yako ni kulala na kujazia tuu
Uko tayari kucheza Ngoma ya kidume cha faru kutoka Kanda ya ziwa
Huku hatuli nazi
 
Uko tayari kucheza Ngoma ya kidume cha faru kutoka Kanda ya ziwa
Huku hatuli nazi
Njoo nikuoe au unataka umle na Kisugu tena..njoo tuonyeshane ukanda basi...
Ww usikane urembo wako bana...mimi kama Kisugu nakupa mahari ya ng'ombe wakubwaa 37 kama mahari ya Hamisa Mobeto
 
Back
Top Bottom