ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,871
- 39,881
Hao mbumbumbu kuelewa ni ngumu
Hoja Yako ni ipi kwamba simba na Liverpool ni level Moja au
Hoja Yako ni ipi kwamba simba na Liverpool ni level Moja au
Mwandiko wako unaonyesha wewe ni liutopolo la kutupwa😎Mwaka wa nne hatuna hata kombe la kahawa na tumeambulia vichapo vikali kutoka Kwa watani wetu Yanga Goli 5 na kufungwa mechi 5 halafu mbumbumbu wenzangu mmekua mbumbumbu kiasi kwamba tulikua tunamtukana Mangungu kwamba katyuza halafu ghafla tukasahau Kwa chawa wakina kisugu na kina mzarami wakishirikianana na kina K Mziwanda kutetea uongozi wa Mangungu nasema hivi na msimu huu hatuna chetu huo ndio ukweli mchungu ikitokea Yanga akacheza hiyo mechi hatuambulii hata sara
Wewe kweli ni mbumbumbu promax,mliokimbia si ni nyie mliwakataza wenzenu wasifanye mazoezi,🤣🤣🤣Mbumbumbu mmechoka kufungwa na Yanga Sasa mnaamua mkimbie
Katika hizo timu Kuna unayolingana nayo hata isipobeba ubingwa miaka 500 we mbumbumbuNdio maana nakuambia wewe ni zaidi ya hao mambumbumbu.
Kama hizo timu unazoziona zipo level kubwa zaidi ya Simba zimeshindwa iweje iwe ajabu kwako kwa Simba kushindwa?
We ni mbumbumbu?Mwandiko wako unaonyesha wewe ni liutopolo la kutupwa😎
Sentensi Moja ndefu kuliko zote dunianiMwaka wa nne hatuna hata kombe la kahawa na tumeambulia vichapo vikali kutoka Kwa watani wetu Yanga Goli 5 na kufungwa mechi 5 halafu mbumbumbu wenzangu mmekua mbumbumbu kiasi kwamba tulikua tunamtukana Mangungu kwamba katyuza halafu ghafla tukasahau Kwa chawa wakina kisugu na kina mzarami wakishirikianana na kina K Mziwanda kutetea uongozi wa Mangungu nasema hivi na msimu huu hatuna chetu huo ndio ukweli mchungu ikitokea Yanga akacheza hiyo mechi hatuambulii hata sara
Miaka 500?Katika hizo timu Kuna unayolingana nayo hata isipobeba ubingwa miaka 500 we mbumbumbu
Jibu swali Kuna timu kati ya hizo utazifikia hata zisipobeba ubingwa miaka 500 namaanisha miaka mia tanoMiaka 500?
We kweli ni mwalimu wa hao mambumbumbu,🤣🤣🤣🤣
Hadi vyuo vya kati (certificate na diploma) vifunguliwe, tutskuwa tumepata sana shida kwa nyuzi kama hiziEndelea kutoielewa
Kwa nini?We ni mbumbumbu?
Shida nini we si haujaelewa hoja mbona maneno mengi achana nayo🤣🤣🤣🤣Hadi vyuo vya kati (certificate na diploma) vifunguliwe, tutskuwa tumepata sana shida kwa nyuzi kama hizi
SijuiKwa nini?
Utajibu nini swali la kimbumbumbu mtani?,🤣🤣🤣Jibu swali Kuna timu kati ya hizo utazifikia hata zisipobeba ubingwa miaka 500 namaanisha miaka mia tano
Nani aliwakataza au mlijikataza kufanya mazoezi wenyewe na shoga yenu Karia akawafichaWewe kweli ni mbumbumbu promax,mliokimbia si ni nyie mliwakataza wenzenu wasifanye mazoezi,🤣🤣🤣
Basi wewe utakuwa ni kijana wa rafiki yangu wa utotoni, Mzee Kilomoni! Yaani wewe ni tofauti kabisa na hawa vijana wa Rage na Mangungu waliojazana humu jukwaani. Hawa vijana ni mbumbumbu balaa.Mwaka wa nne hatuna hata kombe la kahawa na tumeambulia vichapo vikali kutoka Kwa watani wetu Yanga Goli 5 na kufungwa mechi 5 halafu mbumbumbu wenzangu mmekua mbumbumbu kiasi kwamba tulikua tunamtukana Mangungu kwamba katyuza halafu ghafla tukasahau Kwa chawa wakina kisugu na kina mzarami wakishirikianana na kina K Mziwanda kutetea uongozi wa Mangungu nasema hivi na msimu huu hatuna chetu huo ndio ukweli mchungu ikitokea Yanga akacheza hiyo mechi hatuambulii hata sara
Utajua tu😎Sijui
Mmechoka kufungwa na Yanga?Utajua tu😎