Mimi ni Simba ila mashabiki wenzangu ni mambumbumbu ila Mimi nimegoma kuwa mbumbumbu

Mimi ni Simba ila mashabiki wenzangu ni mambumbumbu ila Mimi nimegoma kuwa mbumbumbu

Yani ww mshamba mmoja wa huko ziwani uwatishie Simba...labda utawatishia hao mbumbu unawaosema ila sio sisi unaotuona hapa jukwaani...msyuuu hahaha eti tuone jehanamu lol kwa kipi yani wewe zuzu...ww si ndo umebadili mpk ID kwa sbb ulikua unaonekanaga kituko...
Mara ukaandika uzi nimestaafu ushabiki wa mpira...sasa sisi na ww nani huwa anaona jehanamu hapa..
Yani mm uje na sijui ishu gani itanitoa humu jukwaani...hapa kwangu umenoaa..
Najua wazi unaniogopa Kwa mawe ambayo huwa nakupopoa nayo.

Haya kashitaki Kwa Karia
 
Mimi huyo au kinyago chake...
Mm simuogopi mtu ila kuna watu nawaheshimu..
Mambo ya kesi tunawaachia nyie nyuma mwiko wabobevu...
Vipi wewe hujachoka kufungwa na Yanga?
 
Subiri tuitumue bodi ya ligi inayowabeba.
Yanga kumfunga Simba ni jambo rahisi mno
Mtapigwa 5 tena Kwa mara ya 5 mfululizo
We kweli umeshavuka kiwango cha umbumbumbu,ni zuzu kabisa.

Timu iliyoshindwa kupata goli moja tu kuvuka makundi wakati kila siku huwa inashinda goli 5+ ndio ituogopeshe sisi?

Kama sio mbumbumbu promax utajua nani anabebwa hapo,🤣🤣🤣🤣🤣
 
YANGA hazikucheza mashindano ya akina mama kama timu lako

Msililie bwana yenu Yanga atakuja kuwafanya vibaya kama anavowafanyaga
 
Bristol bro. Kuwa na subraaa .
Labda kama ww nimgeni,
Ila Yanga pia kabla ya hii walikaa miaka minne mfululizo bila ligi kuu.

So Relax Brother, Relax
 
YANGA hazikucheza mashindano ya akina mama kama timu lako

Msililie bwana yenu Yanga atakuja kuwafanya vibaya kama anavowafanyaga
Hayo mashindano uliyoshindwa wewe sisi kwenye ubora wetu hatukuwa kuwa chini ya robo,nyie kuingiza kichwa tu mkaliwa kiboga,🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hayo mashindano uliyoshindwa wewe sisi kwenye ubora wetu hatukuwa kuwa chini ya robo,nyie kuingiza kichwa tu mkaliwa kiboga,🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nani aliwafukuza CAFCL hadi mkakimbilia kwenye mashindano ya shirikisho yaani UMISETA mashindano ya akina mama
 
Nani aliwafukuza CAFCL hadi mkakimbilia kwenye mashindano ya shirikisho yaani UMISETA mashindano ya akina mama
Huko mlipo mmefanya nini zaidi ya kulitia sana aibu Taifa kwa kutolewa makundi halafu eti ni bingwa wa nchi wakati bingwa wa huku unapopadharau shirikisho ndio bingwa wa Morocco mwaka huu na kashinda kwetu kwa kubebwa?
 
Aibu ni timu ya 5imba kucheza shirikisho
 
Bingwa wa Shirikisho hivi tunavyoongea ndio bingwa wa Morocco sasa hv,je ligi yako ipo juu zaidi ya Morocco?

Hapo ndio mbumbumbu promax utamjua,🤣🤣🤣🤣
Hakuna timu kubwa itacheza shirikisho
 
Hakuna timu kubwa itacheza shirikisho
Huna record ya Berkane either Shirikisho au klabu bingwa,huna ukubwa wowote wa kumshinda kimpira,labda kiumri,ukubwa wako ni kwa Singida Big stars, unayeweza kumuagiza akupangie kikosi B ili umfunge,🤣🤣🤣🤣🤣
 
5imba niliyemfunga mara nne mfululizo kutia ndani kipigo cha mbwa mwizi cha goli 5 alipanga kikosi B kipi
 
5imba niliyemfunga mara nne mfululizo kutia ndani kipigo cha mbwa mwizi cha goli 5 alipanga kikosi B kipi
Mliwanunua kina Manula na Inonga,haikuwa real match,ni fixed game ile hata haituumizi kichwa,🤣🤣🤣🤣
 
Mwaka wa nne hatuna hata kombe la kahawa na tumeambulia vichapo vikali kutoka Kwa watani wetu Yanga Goli 5 na kufungwa mechi 5 halafu mbumbumbu wenzangu mmekua mbumbumbu kiasi kwamba tulikua tunamtukana Mangungu kwamba katyuza halafu ghafla tukasahau Kwa chawa wakina kisugu na kina mzarami wakishirikianana na kina K Mziwanda kutetea uongozi wa Mangungu nasema hivi na msimu huu hatuna chetu huo ndio ukweli mchungu ikitokea Yanga akacheza hiyo mechi hatuambulii hata sara
Utopolonyo huna lolote.
 
Back
Top Bottom