steveachi
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 11,663
- 13,983
Zote mazingira ya kina Kayoko na ArajigaZote 4 mlizofungwa alidaka manula?
Zote mazingira ya kina Kayoko na ArajigaZote 4 mlizofungwa alidaka manula?
Basi waamuzi wa derby atakuwaZote mazingira ya kina Kayoko na Arajiga
Sawa tutangazieni viingilio tujue vip ticket ni kiasi gani tukate kabisa tukawakandeBasi waamuzi wa derby atakuwa
Tatu Malogo
Japhet Smart
Kefa Kyombo
Mangungu
Lakini Bado mtafungwa mara ya 5 mfululizo
Kampeni ya Yanga Kwa Sasa ni kusafisha pale TFF nyie mbumbumbu tutawafunga Kwa tarehe tutakayoamua sisiSawa tutangazieni viingilio tujue vip ticket ni kiasi gani tukate kabisa tukawakande
Hahaaaaaa,eti wahuni wakati viongozi wenu ndio wahuni na hamjasanuka,wanatumia umbumbumbu wenu kujinufaisha😅😅😅Kampeni ya Yanga Kwa Sasa ni kusafisha pale TFF nyie mbumbumbu tutawafunga Kwa tarehe tutakayoamua sisi
Tulia acha kiherehere
Kufungwa kukosa pale pale, Wacha kwanza tuwatoe ofsini wahuni wa TFF
Bora wewe umekataa kuwa mbumbumbu ila unatakiwa udumishe hali ya kukataa umbumbumbu.Mwaka wa nne hatuna hata kombe la kahawa na tumeambulia vichapo vikali kutoka Kwa watani wetu Yanga Goli 5 na kufungwa mechi 5 halafu mbumbumbu wenzangu mmekua mbumbumbu kiasi kwamba tulikua tunamtukana Mangungu kwamba katyuza halafu ghafla tukasahau Kwa chawa wakina kisugu na kina mzarami wakishirikianana na kina K Mziwanda kutetea uongozi wa Mangungu nasema hivi na msimu huu hatuna chetu huo ndio ukweli mchungu ikitokea Yanga akacheza hiyo mechi hatuambulii hata sara