Mimi ni Simba ila mashabiki wenzangu ni mambumbumbu ila Mimi nimegoma kuwa mbumbumbu

Mimi ni Simba ila mashabiki wenzangu ni mambumbumbu ila Mimi nimegoma kuwa mbumbumbu

Nani aliwakataza au mlijikataza kufanya mazoezi wenyewe na shoga yenu Karia akawaficha
Ila msiwe na haraka subiri tumfukuze Karia hapo TFF tuje tuwafunge 5imba wagonjwa mara ya 5 mfululizo
Kama mlikua mnaihitaji sana ile derby msingewakataza wenzenu wafanye mazoezi .

Kama mnajiamini tokeni mbele tarehe 15 mkandwe mchana kweupe.

Mmeshachungulia na ndio maana kila siku matamko ya #Hatuchezi hayaishi,kimekuwa ni kichaka chenu cha kujifichia na kipigo kitakatifu.

Kina manula na Hinonga mliozowea kuwahonga hawapo,lazima mfe kivyovyote vile.
 
Hakuna aliyewazuia mbumbumbu kufanya mazoezi, 5imba akishirikiana na TFF walitafuta Chaka la kujificha

Kampeni ya Yanga Kwa Sasa ni kusafisha pale TFF nyie mbumbumbu tutawafunga Kwa tarehe tutakayoamua sisi
 
Kudhihirisha wewe ni mbumbumbu unashikiwa akili na albino hii Kali yaani mlemavu anakushika akili 🤣🤣🤣🤣
Acha kukashfu uumbaji wa Mungu, manara anakuzidi akili na hela mpumbavu sana wewe.
 
Basi wewe utakuwa ni kijana wa rafiki yangu wa utotoni, Mzee Kilomoni! Yaani wewe ni tofauti kabisa na hawa vijana wa Rage na Mangungu waliojazana humu jukwaani. Hawa vijana ni mbumbumbu balaa.
Mbona mnalazimisha tuone jinsi gani hamna akili??
Ww umekaa miaka mngapi bila makombe...
 
Hakuna aliyewazuia mbumbumbu kufanya mazoezi, 5imba akishirikiana na TFF walitafuta Chaka la kujificha

Kampeni ya Yanga Kwa Sasa ni kusafisha pale TFF nyie mbumbumbu tutawafunga Kwa tarehe tutakayoamua sisi
Ndio mlivyodanganywa mambumbumbu promax?
 
Ndio maana yake,ingizeni timu mgongwe mkose kichaka
Subiri tuitumue bodi ya ligi inayowabeba.
Yanga kumfunga Simba ni jambo rahisi mno
Mtapigwa 5 tena Kwa mara ya 5 mfululizo
 
Usitambe hapa jukwaani,
Nitahakikisha mbumbumbu wote mnaliona hili jukwaa kama jehanamu
Yani ww mshamba mmoja wa huko ziwani uwatishie Simba...labda utawatishia hao mbumbu unawaosema ila sio sisi unaotuona hapa jukwaani...msyuuu hahaha eti tuone jehanamu lol kwa kipi yani wewe zuzu...ww si ndo umebadili mpk ID kwa sbb ulikua unaonekanaga kituko...
Mara ukaandika uzi nimestaafu ushabiki wa mpira...sasa sisi na ww nani huwa anaona jehanamu hapa..
Yani mm uje na sijui ishu gani itanitoa humu jukwaani...hapa kwangu umenoaa..
 
Mbona mnalazimisha tuone jinsi gani hamna akili??
Ww umekaa miaka mngapi bila makombe...
Mambo ya makombe yanatoka wapi tena! Mimi nimemsifia tu mtoa mada kama ana sifa za kuwa mtoto wa rafiki yangu Mzee Kilomoni.
 
Back
Top Bottom