Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Huo ndio ukweliKunywa maji kwanza.. [emoji23][emoji23]
Kawaida ya mbumbumbu kubishana kwenye mambo yasiyowalipa Mimi nimegoma kuwa mbumbumbu kubishana kitu kisichonilipaKawaida tuu kwa mpira wa Tanzania..
Kwani nyuma mwiko walikosa ubingwa miaka mingapi?
Ukiona hutaki kubishana basi usiwe unaleta hoja zako..maana hapa hatuwezi kukubaliana kila kitu...Kawaida ya mbumbumbu kubishana Mimi nimegoma kuwa mbumbumbu
Acha kuwa mkali Kisugu weweUkiona hutaki kubishana basi usiwe unaleta hoja zako..maana hapa hatuwezi kukubaliana kila kitu...
Kwanza wewe ni utopolo...
Tafuta mbumbumbu mwenzio ubishane nae sikujibu tenaUkiona hutaki kubishana basi usiwe unaleta hoja zako..maana hapa hatuwezi kukubaliana kila kitu...
Kwanza wewe ni utopolo...
Basi umeona umeyaapatia maisha...Acha kuwa mkali Kisugu wewe
Utopoloo....Tafuta mbumbumbu mwenzio ubishane nae sikujibu tena
Kasugu anatabu sana🤣🤣🤣Acha kuwa mkali Kisugu wewe
Tulia kisuguBasi umeona umeyaapatia maisha...
Njoo nikuoe basi....
Mimi ndo kisugu natafuta mke
Njoo mrembo wa kyerwaa
Siwezi kutulia mpaka nikuwowe....Tulia kisugu
Siwezi kutulia mpaka nikuwowe....
Na ulivyo na kalio kama la mwijaku mambo ya kyerw hayo
Kumbe kisugu choka mbaya aisee
Wewe njoo tuu nikubalie nikuoe yani nazi nitakukunia kazi yako ni kulala na kujazia tuu
Ndo hali yake ivoKumbe kisugu choka mbaya aisee
Uko tayari kucheza Ngoma ya kidume cha faru kutoka Kanda ya ziwaWewe njoo tuu nikubalie nikuoe yani nazi nitakukunia kazi yako ni kulala na kujazia tuu
Njoo nikuoe au unataka umle na Kisugu tena..njoo tuonyeshane ukanda basi...Uko tayari kucheza Ngoma ya kidume cha faru kutoka Kanda ya ziwa
Huku hatuli nazi