Amekwambia mwanzoni mwa miaka ya 2000(hajakwambia mwaka 2000) elewa hilo.Mlimani city mwanzoni mwa miaka ya 2000???
Mlimani city ilianza utawala wa JK
Kuna mwanangu ana show room mwenge mpakani pale ila ukimuona siku zote kavaa pensi na zile cross unaweza sema ni za kwenda kuogea au chooni but ni around 240kKujua mazingira ya mtu anayoishi.
Kujua uwezo wa mtu kichwani.
Kujua tabia ya mtu.
Natazama hair style na shoe style ya mtu baaasi.
Wewe unatazama nini?
View attachment 3135508
View attachment 3135515
Simple. Fact.Wahuni wengi wanapenda ku onekana smart mfano nenda Bungeni utanielewa,real purpose driven life they look simple but tidy.
Hii ina ukweli ila mpauko haujifichiOooh umenikumbusha dada mmoja miaka ile 2000 mwanzoni. Kaenda mlimami city kaingia duka wanauza jewelry akawa anashangaa na kuuliza uliza. Mara wale wadada wakawa wanamjibu kwa dharau na hasira huku wakiongea wakimkata jicho kali kuwa weee bibie msumbufu bwana.
Alivyona dharau zimezidi akaagiza cheni, hereni, kikuku, kazilipa huyo akatoka zake.
Wale wadada wauzaji wamebaki wametoa macho.
Usipime mtu kwa muonekano.
Muogope sana mtu anayeonekana smart on the outside hata pasipo sababu Za msingi,na muheshimu mtu ambaye yupo simple but tidyNimesoma comment nimecheka sana na ndio maana Taifa hili watu wanatapeliwa sana. Ndio maana kina Mr. Kuku na wazee wa Vanilla kule Njombe walikuwa wanawapiga watu simply kwa ku-judge mtu mwonekano.
Of course kuwa rough sio kitu kizuri lakini kama umekutana na mtu yupo rough wakati mwingine ni vyema kumchukulia kawaida unaweza kigundua kitu na kama ni waluwalu unampotezea mazima
Hakuna mpako yule sema hakuwa na mawigi yale wala high heels zile.Hii ina ukweli ila mpauko haujifichi