Mnyenz
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 2,933
- 8,112
Amekwambia mwanzoni mwa miaka ya 2000(hajakwambia mwaka 2000) elewa hilo.Mlimani city mwanzoni mwa miaka ya 2000???
Mlimani city ilianza utawala wa JK
Hivyo, hata leo hii bado ni mwanzoni mwa miaka ya 2000.
Mwishoni mwa miaka ya 2000 itakua labda tuseme 2950 hivi.