Vijana jiandikisheni acheni porojoTanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Atakayejitokeza kushiriki chaguzi hizi za kipuuzi kwa mazingira haya, ni aidha ni mfaidika wa hizi chaguzi za kihuni, au hana shughuli ya kufanya.
Trust the processTanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Atakayejitokeza kushiriki chaguzi hizi za kipuuzi kwa mazingira haya, ni aidha ni mfaidika wa hizi chaguzi za kihuni, au hana shughuli ya kufanya.
Vijana mazombie ndio watajitokeza kushiriki hizo chaguzi za kishenzi.Vijana jiandikisheni acheni porojo
Kuhusu nini labda?Trust the process
Kuhusu mabadiliko ya DemokrasiaKuhusu nini labda?
We jiandikishe piga kura linda kuraKuhusu nini labda?
Sina muda wa kupoteza kwenye huo ushenzi. Ni upuuzi kama upuuzi mwingine kushiriki kwenye chaguzi ambazo ccm wanapanga matokeo wayatakayo. Ni aidha machafuko ama mapinduzi ya kijeshi ili kurejesba heshima ya box la kura. Huo muda wa kulinda kura kafanyeni nyie wenye huo muda mchafu.We jiandikishe piga kura linda kura
Tukishindwa uchaguzi tunasema wameibaVijana mazombie ndio watajitokeza kushiriki hizo chaguzi za kishenzi.
Kwa akili yako unadani hatujui nini kinaendelea kwenye chaguzi zetu? Ama unadhani hatuna ushahidi na uhayawani unaofanyika kwenye hizo chaguzi? Machafuko pekee ndio yatafanya box la kura kuheshimiwa.Tukishindwa uchaguzi tunasema wameiba
Acho porojo pigeni kuraKwa akili yako unadani hatujui nini kinaendelea kwenye chaguzi zetu? Ama unadhani hatuna ushahidi na uhayawani unaofanyika kwenye hizo chaguzi? Machafuko pekee ndio yatafanya box la kura kuheshimiwa.
Kapige ww na mkeo/mumeo.Acho porojo pigeni kura
Safi sana itakuwa vyema zaidi kama utakuwa mwanachama wa CHADEMA na kupigia kura CHADEMA pekee.Ni wakati mwingine tunaelekea kwenye chaguzi - Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025 .
Tujitokeze kwa wingi ,tuache mabishano ya Simba na Yanga vijiweni .
Kina Erythrocyte ,Lucas Mwashambwa ,@itwege FaizaFoxy ,Pascal Mayalla ,Kulwa Jilala ,Stuxnet ,Tindo ,ChoiceVariable ,
eli ,Mdude_Nyagali na wengineyo
kwa ujumla kila mwananchi ni wakati wako wa kutumia haki yako ya msingi ya kikatiba .
Soma Pia:
Tanzania inatarajiwa kuwa na Wapiga Kura 34,746,638 watakaoandikishwa katika Daftari la Wapiga Kura
Jaji Mwambegele: Mawakala wa Vyama vya Siasa wataruhusiwa kuwepo katika Vituo vya Kuandikisha Wapiga Kura
Kauli mbiu -tutajiandikisha ,tutapiga kura , kwa katiba hii hii tutashinda uchaguzi ,kura zetu ni za thamani sana ziheshimiwe .
Maandalizi Mema .
Vijana tujitokeze kwa wingi hakuna Chama chenye hati miliki ya kuongoza hii Nchi tuamini hivi na tukajiandikishe .