Pre GE2025 Mimi niko tayari kwa kupiga kura 2024 na 2025, nishajiandikisha wapenda mabadiliko na maendeleo mjitokeze kujiandikisha

Pre GE2025 Mimi niko tayari kwa kupiga kura 2024 na 2025, nishajiandikisha wapenda mabadiliko na maendeleo mjitokeze kujiandikisha

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Atakayejitokeza kushiriki chaguzi hizi za kipuuzi kwa mazingira haya, ni aidha ni mfaidika wa hizi chaguzi za kihuni, au hana shughuli ya kufanya.
Vijana jiandikisheni acheni porojo
 
Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Atakayejitokeza kushiriki chaguzi hizi za kipuuzi kwa mazingira haya, ni aidha ni mfaidika wa hizi chaguzi za kihuni, au hana shughuli ya kufanya.
Trust the process
 
We jiandikishe piga kura linda kura
Sina muda wa kupoteza kwenye huo ushenzi. Ni upuuzi kama upuuzi mwingine kushiriki kwenye chaguzi ambazo ccm wanapanga matokeo wayatakayo. Ni aidha machafuko ama mapinduzi ya kijeshi ili kurejesba heshima ya box la kura. Huo muda wa kulinda kura kafanyeni nyie wenye huo muda mchafu.
 
Tukishindwa uchaguzi tunasema wameiba
Kwa akili yako unadani hatujui nini kinaendelea kwenye chaguzi zetu? Ama unadhani hatuna ushahidi na uhayawani unaofanyika kwenye hizo chaguzi? Machafuko pekee ndio yatafanya box la kura kuheshimiwa.
 
Kwa akili yako unadani hatujui nini kinaendelea kwenye chaguzi zetu? Ama unadhani hatuna ushahidi na uhayawani unaofanyika kwenye hizo chaguzi? Machafuko pekee ndio yatafanya box la kura kuheshimiwa.
Acho porojo pigeni kura
 
Ni wakati mwingine tunaelekea kwenye chaguzi - Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025 .

Tujitokeze kwa wingi ,tuache mabishano ya Simba na Yanga vijiweni .

Kina Erythrocyte ,Lucas Mwashambwa ,@itwege FaizaFoxy ,Pascal Mayalla ,Kulwa Jilala ,Stuxnet ,Tindo ,ChoiceVariable ,
eli ,Mdude_Nyagali na wengineyo

kwa ujumla kila mwananchi ni wakati wako wa kutumia haki yako ya msingi ya kikatiba .

Soma Pia:

Tanzania inatarajiwa kuwa na Wapiga Kura 34,746,638 watakaoandikishwa katika Daftari la Wapiga Kura

Jaji Mwambegele: Mawakala wa Vyama vya Siasa wataruhusiwa kuwepo katika Vituo vya Kuandikisha Wapiga Kura

Kauli mbiu -tutajiandikisha ,tutapiga kura , kwa katiba hii hii tutashinda uchaguzi ,kura zetu ni za thamani sana ziheshimiwe .

Maandalizi Mema .

Vijana tujitokeze kwa wingi hakuna Chama chenye hati miliki ya kuongoza hii Nchi tuamini hivi na tukajiandikishe .
Safi sana itakuwa vyema zaidi kama utakuwa mwanachama wa CHADEMA na kupigia kura CHADEMA pekee.
 
Back
Top Bottom