Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Ni wakati mwingine tunaelekea kwenye chaguzi - Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025 .
Tujitokeze kwa wingi ,tuache mabishano ya Simba na Yanga vijiweni .
Kina Erythrocyte ,Lucas Mwashambwa ,@itwege FaizaFoxy ,Pascal Mayalla ,Kulwa Jilala ,Stuxnet ,Tindo ,ChoiceVariable ,
eli ,Mdude_Nyagali na wengineyo
kwa ujumla kila mwananchi ni wakati wako wa kutumia haki yako ya msingi ya kikatiba .
Soma Pia:
Tanzania inatarajiwa kuwa na Wapiga Kura 34,746,638 watakaoandikishwa katika Daftari la Wapiga Kura
Jaji Mwambegele: Mawakala wa Vyama vya Siasa wataruhusiwa kuwepo katika Vituo vya Kuandikisha Wapiga Kura
Kauli mbiu -tutajiandikisha ,tutapiga kura , kwa katiba hii hii tutashinda uchaguzi ,kura zetu ni za thamani sana ziheshimiwe .

Maandalizi Mema .
Vijana tujitokeze kwa wingi hakuna Chama chenye hati miliki ya kuongoza hii Nchi tuamini hivi na tukajiandikishe .