Pre GE2025 Mimi niko tayari kwa kupiga kura 2024 na 2025, nishajiandikisha wapenda mabadiliko na maendeleo mjitokeze kujiandikisha

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Nehemia Kilave

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2022
Posts
1,414
Reaction score
3,118
Ni wakati mwingine tunaelekea kwenye chaguzi - Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025 .

Tujitokeze kwa wingi ,tuache mabishano ya Simba na Yanga vijiweni .

Kina Erythrocyte ,Lucas Mwashambwa ,@itwege FaizaFoxy ,Pascal Mayalla ,Kulwa Jilala ,Stuxnet ,Tindo ,ChoiceVariable ,
eli ,Mdude_Nyagali na wengineyo

kwa ujumla kila mwananchi ni wakati wako wa kutumia haki yako ya msingi ya kikatiba .

Soma Pia:

Tanzania inatarajiwa kuwa na Wapiga Kura 34,746,638 watakaoandikishwa katika Daftari la Wapiga Kura

Jaji Mwambegele: Mawakala wa Vyama vya Siasa wataruhusiwa kuwepo katika Vituo vya Kuandikisha Wapiga Kura

Kauli mbiu -tutajiandikisha ,tutapiga kura , kwa katiba hii hii tutashinda uchaguzi ,kura zetu ni za thamani sana ziheshimiwe .
DSC_0189~2.JPG
DSC_0188.JPG

Maandalizi Mema .

Vijana tujitokeze kwa wingi hakuna Chama chenye hati miliki ya kuongoza hii Nchi tuamini hivi na tukajiandikishe .
 
Ni wakati mwingine tunaelekea kwenye chaguzi - Serikali za mitaa 2024 na uchaguzi mkuu 2025 .

Tujitokeze kwa wingi ,tuache mabishano ya Simba na Yanga vijiweni .

Kina Erythrocyte ,Lucas Mwashambwa ,@itwege FaizaFoxy ,Pascal Mayalla ,Kulwa Jilala ,Stuxnet ,Tindo ,ChoiceVariable ,
eli ,Mdude_Nyagali na wengineyo

kwa ujumla kila mwananchi ni wakati wako wa kutumia haki yako ya msingi ya kikatiba .

Kauli mbiu -tutajiandikisha ,tutapiga kura , kwa katiba hii hii tutashinda uchaguzi ,karibu tulinde kura zetu .

View attachment 3063729View attachment 3063730

Maandalizi Mema .​
Unajidanganya wewe mwenyewe.

CCM kushinda Uchaguzi wa Siasa hapa Tanzania au kuendelea kubaki madarakani haitegemei kupigiwa Kura na mtu yoyote yule ktk Uchaguzi wa Siasa.
 
Kila mtanzania mwenye akili Timamu na anayejitambua vyema anafahamu ya kuwa CCM ndio tumaini lao na chama chenye uwezo wa kuwaongoza na kuwaletea maendeleo
 
Nami pia nimefanikiwa kujiandikisha na kupata kitambulisho cha kupigia kura . Nitapiga kura na nitailinda kura yangu kiroho , kiakili na kimwili .
 
Kama siyo mnafiki, utakubaliana na ukweli mchungu sana kwamba hicho ulichoandika kipo kinyume na hali halisi jinsi ilivyo nchini Tanzania.

Ukweli ni kuwa, sehemu ambako CCM imekuwa ikipata Kura nyingi zaidi ndiko ambako Wananchi wengi zaidi Wana hali duni zaidi za maisha, and vice versa is true.
 
Nami pia nimefanikiwa kujiandikisha na kupata kitambulisho cha kupigia kura . Nitapiga kura na nitailinda kura yangu kiroho , kiakili na kimwili .
Umefanya vyema , watu wengi hawajiandikishi na hawapigi kura wanakaa kuilaumu CCM .
 
Watu waende kujiandikisha na pia wajitokeze kupiga kura siku ikifika. Watu wasiogope kuibiwa kura . Wezi wa kura watauona moto ambao utawateketeza .
 
Wakuu ni mikoa yote wameshaanza michakato? Mbona wengine hatuna taarifa na sisi wenye vitambulisho vya chaguzi za miaka ya nyuma bado vinafaa?
 
Kuna upotoshaji katika hili zoezi. Tuliambiwa zoezi hilo linaenda hatua kwa hatua. Hatujui kwa sasa liko mkoa gani.
 
Ni wakati mwingine tunaelekea kwenye chaguzi - Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025 .

Tujitokeze kwa wingi ,tuache mabishano ya Simba na Yanga vijiweni .

Kina Erythrocyte ,Lucas Mwashambwa ,@itwege FaizaFoxy ,Pascal Mayalla ,Kulwa Jilala ,Stuxnet ,Tindo ,ChoiceVariable ,
eli ,Mdude_Nyagali na wengineyo

kwa ujumla kila mwananchi ni wakati wako wa kutumia haki yako ya msingi ya kikatiba .

Soma Pia:

Tanzania inatarajiwa kuwa na Wapiga Kura 34,746,638 watakaoandikishwa katika Daftari la Wapiga Kura

Jaji Mwambegele: Mawakala wa Vyama vya Siasa wataruhusiwa kuwepo katika Vituo vya Kuandikisha Wapiga Kura

Kauli mbiu -tutajiandikisha ,tutapiga kura , kwa katiba hii hii tutashinda uchaguzi ,kura zetu ni za thamani sana ziheshimiwe .

Maandalizi Mema .

Vijana tujitokeze kwa wingi hakuna Chama chenye hati miliki ya kuongoza hii Nchi tuamini hivi na tukajiandikishe .
Ili iweje?
 
Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Atakayejitokeza kushiriki chaguzi hizi za kipuuzi kwa mazingira haya, ni aidha ni mfaidika wa hizi chaguzi za kihuni, au hana shughuli ya kufanya.
 
Umefanya vyema , watu wengi hawajiandikishi na hawapigi kura wanakaa kuilaumu CCM .
Unadhani tunaposema hakuna uchaguzi bali upuuzi katika box la kura ni kwamba hatujui tunaongea nini? Hatuwezi kuendelea kushiriki chaguzi ambazo ccm wanapanga matokeo wayatakayo kwa muda wa miaka zaidi ya 30. Ni aidha machafuko ama mapinduzi ya kijeshi ili heshima ya box la kura irejee.
 
Back
Top Bottom