Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
- Thread starter
- #181
Bado wakati upo mkuuOooo! Mwaka 2000. Miaka 24 iliyopita na bado sina kibanda hapa mjini!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado wakati upo mkuuOooo! Mwaka 2000. Miaka 24 iliyopita na bado sina kibanda hapa mjini!
Vyema1998
Sio namba tu ,unaweza fokewa na mtoto wako humu😁😁Wanasema umri ni namba tu 😁
72Sema tu mkuu, sio jambo la aibu hilo
Lakn mkuu wewe hujasema ulimaliza mwaka ganiSio namba tu ,unaweza fokewa na mtoto wako humu😁😁
Heshima kwako mkuu, wewe ni kama Baba yangu kabisa
Sawa mkuu, lakini Elimu bado inathamani siku zoteSisi ndio tulisoma elimu ikiwa na Thamani
Mbona ulichelewa mkuu, mimi mtoto nimempata nikiwa na miaka 21Ungeniona nilivyo usingeuliza hilo swali mtoto wa kwabza nimempata nikiwa na 28
Elimu zenu za kufaulu darasa zima?Sawa mkuu, lakini Elimu bado inathamani siku zote
Kuna watu wamevaa kininja.Kuwatambua unapaswa ujitahidi kupooza uji uliomo kwenye kikombe kwa ungo.Kwa mfano:Kuna kipindi mimi huwa nakuwa mtoto,kijana barobaro au mzee wa hikma.Kaa chonjo mkuu.Walishafika hao, pitia comments vizuri utawaona
Mimi sina haja ya kujua tumefaulu wangapi, ila najua Elimu ni nguzo muhimu siku zoteElimu zenu za kufaulu darasa zima?
Sahihi kabisa, kuwahi na kuchelewa ni nadharia tu, lakini safari za maisha hazifananiMaisha ndo yanatupangia cha kufanya kwa hiyo hakuna kuwahi wala kuchelewa kwenye maisha
Noma sana napambana!Bado wakati upo mkuu
Wewe andika tu usijibanebane mwishowe ukapasuka, mbona mimi ni mzee ila kwenye mada za ovyo pia nipo😁natambua Jf ina watu wengi wenye umri mkubwa, ni vyema kuzungumza na kuandika kwa kuzingatia hilo.