Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa nduguKwangu imekuwa muda sana ndugu yangu.
Bado watu wazima wapo wengi tuJf siku hizi imejaa vijana tu... wazee inabidi tutundike daluga😆😆
Mimi nafanya mwaka 2030 ambapo itakua mwisho standard six. 😃😃View attachment 3093104
Ikiwa siku ya leo wadogo zetu wapo katika mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi, nawaombea wamalize salama na wafanikiwe kuwapa faraja wazazi wao kwa matokeo mazuri.
Binafsi nilifanya mtihani huu mwaka 2013, share nasi ni mwaka gani ulimaliza elimu ya msingi...
Heshima yako Babu1958 naomba mnitafutie kuni niote moto wengi ni vijukuu wangu
Aaah haina nouma mkuu, 👊DSM mkuu
Mbona usirias upoWe kuwa siriasi uwaamkie wadogo zako
Eeeeh lazima 🍺🍺🍺 bia tamu😂Avatar inamaelezo tosha kabisa 😂
😂😂😂 Mkoa hapana ila tarafa nzima ilikuwa na shule moja yenye darasa la saba tulifaulu 3.Najua mzee ulifaulu peke yako mkoa mzima
Daah 😂😂2012, now nasubir mkando wa psrs
Ni kweli hata mimi nimeshangaa huyu dogo 2013 juzi😁😁Ngoja waje wale jamaa ambao kitu pekee wako proud nacho ni kuwahi kumaliza shule kabla yako.
Utasikia kumbe tunabishana na watoto humu.
Wanasema umri ni namba tu 😁Ni kweli hata mimi nimeshangaa huyu dogo 2013 juzi😁😁
Means sahivi una watoto wakubwa kabisa mkuuToka nimalize shule hadi sasa ni miaka 24 kama demu anadanga ile ya mwisho mwisho ata msela wake anafikiria kwanza kutuma muamala na kama aliomba ten mesela anatuma nusu.