Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
- Thread starter
-
- #481
Sawa, sasa alivyosema 1961 alimaanisha ndyo mwaka aliyo maliza la nne au?Hapakuwa na darasa la Saba miaka hiyo, ilikua la nne, ukifaulu unaenda middle school mpk la 8, secondary la 9 na kuendelea.
Sasa ulitaka uwe mwaka wa kufanya nini?Hivi mwaka 2013 nao ni wa kufanya mtihani wa darasa la saba.
Sawq mkuu, heshima kubwa kwakoNdio hata NECTA haipo wakati huo sisi tunafanya
1992.View attachment 3093104
Ikiwa siku ya leo wadogo zetu wapo katika mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi, nawaombea wamalize salama na wafanikiwe kuwapa faraja wazazi wao kwa matokeo mazuri.
Binafsi nilifanya mtihani huu mwaka 2013, share nasi ni mwaka gani ulimaliza elimu ya msingi...
Kwangu mimi hao wa sasa ni wadogo zanguMwaka 1996 Shule ya msingi Rulenge wilayani Ngara.
Hawa ambao mwaka huu wanaomaliza elimu ya msingi sio wadogo zetu bali ni watoto wetu. Wadogo zetu wamemaliza elimu ya msingi mwaka 2003 kurudi nyuma.
Pia kumbukumbu zinaniambia wakati nahitimu elimu ya msingi nilikuwa Nina umri wa miaka 19.
Bila shaka saivi unakaribia kupata wajukuu1992.
Pole sana mkuuDah..... sikubahatika kufanya mtihani wa darasa saba😎
Khaswaa! Hata nifanye kosa gani nilikuwa siadhibiwi na mwalimu wakike. Hao wakiume pia saa nyingine walikuwa wakinigwaya wakihofia nitawapopoa kwa mawe usiku njiani wakitoka ulevini.Kwangu mimi hao wa sasa ni wadogo zangu
Lakini mkuu kama ulimaliza na miaka 19 basi ulimaliza ukiwa kijeba kabisa.
Ulivyofika sekondari ikawaje? Nadhani huko ndipo utemi ulizidi kushamiriKhaswaa! Hata nifanye kosa gani nilikuwa siadhibiwi na mwalimu wakike. Hao wakiume pia saa nyingine walikuwa wakinigwaya wakihofia nitawapopoa kwa mawe usiku njiani wakitoka ulevini.
Sekondari sikwenda! Miaka ile sekondari za Kata hazikuwepo kwahiyo ufaulu ulikuwa mwembamba sana. Darasa Zima walioenda secondari hawazidi wanne!, na wote walikuwa wanatokea familia za viongozi au matajiri. Mmoja wazazi wake wote walikuwa walimu. Baba Mwalimu wa sekondari na mama Mwalimu wa primary. Wapili baba yake alikuwa mkurugenzi wa shirika la Ngara District Development Organization N.D.D.O. Watatu wazazi wake walikuwa na pesa wakampeleka shule za private, wanne alikuwa anatoka familia ya wafanyabiashara wakiarabu wakampeleka nchini Uganda kuendelea na masomo.Ulivyofika sekondari ikawaje? Nadhani huko ndipo utemi ulizidi kushamiri
Mkuu kwa maelezo hayo nimejifunza kwamba zamani elimu ilikuwa changamoto, pia walinufaika wale walio na uwezo pekee...Sekondari sikwenda! Miaka ile sekondari za Kata hazikuwepo kwahiyo ufaulu ulikuwa mwembamba sana. Darasa Zima walioenda secondari hawazidi wanne!, na wote walikuwa wanatokea familia za viongozi au matajiri. Mmoja wazazi wake wote walikuwa walimu. Baba Mwalimu wa sekondari na mama Mwalimu wa primary. Wapili baba yake alikuwa mkurugenzi wa shirika la Ngara District Development Organization N.D.D.O. Watatu wazazi wake walikuwa na pesa wakampeleka shule za private, wanne alikuwa anatoka familia ya wafanyabiashara wakiarabu wakampeleka nchini Uganda kuendelea na masomo.
Mimi pamoja na ubabe niliokuwa nao, huko msikitini nilikuwa vizuri kwenye masomo ya dini kwahiyo baada ya kumaliza la 7 nikajiemdeleza na elimu ya dini na hadi sasa ni Mwalimu wa madrassa.
Aamiyn. Miaka ile baadhi ya shule hasa za vijijini ilikuwa yaweza pita hata Miaka 5 bila kufaulisha mwanafunzi hata mmoja. Ufaulu umeongezeka awamu ya kikwete baada ya kujengwa sekondari za Kata ndio unakuta miaka ya leo zaidi ya nusu ya darasa wote wanafaulu.Mkuu kwa maelezo hayo nimejifunza kwamba zamani elimu ilikuwa changamoto, pia walinufaika wale walio na uwezo pekee...
Lakini naamini Mungu alikuongoza njia sahihi mpaka sasa unafanya kazi ya kueneza na kufundisha elimu yake, Allah azidi kukupa nguvu na uwezo wa kufundisha na kuelimisha zaidi.
Sio wajukuu kweli😃Mwaka 1996 Shule ya msingi Rulenge wilayani Ngara.
Hawa ambao mwaka huu wanaomaliza elimu ya msingi sio wadogo zetu bali ni watoto wetu. Wadogo zetu wamemaliza elimu ya msingi mwaka 2003 kurudi nyuma.
Pia kumbukumbu zinaniambia wakati nahitimu elimu ya msingi nilikuwa Nina umri wa miaka 19.
Kumbe dogo tu wew😂😂Me ni 2010
2002 Form OneBaada ya hapo ukajiunga na nini?
Ukiniita dogo unanikosea nina 29Kumbe dogo tu wew😂😂
Chuo??2002 Form One
Chuo??
Hii kweli Utajua wewe 😂Mimi nilifanya 2015 na mwaka huohuo nilipata mtoto wa kwanza