Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
- Thread starter
-
- #521
Sasa mkuu kwanini usikae tu hapo mapokezi kabisa ili uzichukue mapema uweke mfukoni😂Mimi nilifanya pia mtihani mwaka 2013 Leo Nina miaka 24 Niko nagombania hela za vyumba vya guest na baba mzazi umri wake miaka 68😂tunawahiana atakae wahi kuchukua hela inakua yake mfukoni
Ndiyo mkuu, muhimu ni kuzingatia heshima kwa wote.Kumbe humu tuko na wajukuuu......
Vyema sana199......
Ndio hivyo tena, long time kitambo!. 😂1972?....
Heshima kwako Mkuu
Bila shaka now umevaa miwani wakati unasoma na ku reply hapa kwenye thread 😂Ndio hivyo tena, long time kitambo!. 😂
Sidhani kama kuna tatizo kuhusu hilo, msingi ni kwamba kila mtu ajue mipaka yake na aheshimu wengine bila kubagua umri wala identity.Duuuhh ila humu ndani ifike pahala moderator waweke sehemu mtu miaka yake iwe inaonekana aisee....!!!! Tupo na vitoto vidogo sana humu ndichi kwa kweli
Kuna ubaya kujinadi?Sasa sisi tuliofanya mtihani wa darasa la saba November 1972, tunaruhusiwa kujinadi pia? 😲😮
Kwahiyo ulitaka wote tuzaliwe pamoja?Duuuhh ila humu ndani ifike pahala moderator waweke sehemu mtu miaka yake iwe inaonekana aisee....!!!! Tupo na vitoto vidogo sana humu ndichi kwa kweli
NdioKwahiyo ulitaka wote tuzaliwe pamoja?
Mkuu unichape kwanini mbona akili zangu zimenikaa sawa tu, ila kiukweli kuitwa mtoto wa elfu mbili inachukiza maana inafanya nifananishwe na wengine ambao akili zao hazijawakaa sawa.Shenzi, huo mwaka nina miaka mitatu kazini, kumbe we bado kinda sana, ningepangiwa shule uliyosoma ningekuchapa sana viboko vya makalioni ili akili zikukae sawa ewe mtoto wa elfu mbili
Mimi mwaka huo ndyo nimemaliza form 4.Mimi 2017
Mental disorder inasumbua watu sana.Mkuu unichape kwanini mbona akili zangu zimenikaa sawa tu, ila kiukweli kuitwa mtoto wa elfu mbili inachukiza maana inafanya nifananishwe na wengine ambao akili zao hazijawakaa sawa.
Naskia wakati huo kulikuwa na ubaguzi sana katika nyanja ya elimu hasa kwa kuzingatia imani za kidini, je hili lina ukweli wowote?1978, wakati huo ukishinda wewe ni mfalme.
Nilidhani mimi ndyo chalii pekeyangu, kumbe nina wadogo zangu humu, vyema sana mkuu.2015