Mimi nilifanya mtihani wa darasa la saba mwaka 2013, wewe je?

Mimi nilifanya pia mtihani mwaka 2013 Leo Nina miaka 24 Niko nagombania hela za vyumba vya guest na baba mzazi umri wake miaka 68😂tunawahiana atakae wahi kuchukua hela inakua yake mfukoni
Sasa mkuu kwanini usikae tu hapo mapokezi kabisa ili uzichukue mapema uweke mfukoni😂
 
Duuuhh ila humu ndani ifike pahala moderator waweke sehemu mtu miaka yake iwe inaonekana aisee....!!!! Tupo na vitoto vidogo sana humu ndichi kwa kweli
 
Sidhani kama kuna tatizo kuhusu hilo, msingi ni kwamba kila mtu ajue mipaka yake na aheshimu wengine bila kubagua umri wala identity.
 
Shenzi, huo mwaka nina miaka mitatu kazini, kumbe we bado kinda sana, ningepangiwa shule uliyosoma ningekuchapa sana viboko vya makalioni ili akili zikukae sawa ewe mtoto wa elfu mbili
 
Mkuu unichape kwanini mbona akili zangu zimenikaa sawa tu, ila kiukweli kuitwa mtoto wa elfu mbili inachukiza maana inafanya nifananishwe na wengine ambao akili zao hazijawakaa sawa.
 
Mental disorder inasumbua watu sana.
 
Back
Top Bottom