Mimi 201920View attachment 3093104
Ikiwa siku ya leo wadogo zetu wapo katika mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi, nawaombea wamalize salama na wafanikiwe kuwapa faraja wazazi wao kwa matokeo mazuri.
Binafsi nilifanya mtihani huu mwaka 2013, share nasi ni mwaka gani ulimaliza elimu ya msingi...
πππππNgoja waje wale jamaa ambao kitu pekee wako proud nacho ni kuwahi kumaliza shule kabla yako.
Utasikia kumbe tunabishana na watoto humu.
Watoto wasije wakawa matapeli tuUpigaji saundi za kufa mtu.
Kila mtu duniani ni tapeli.Tunapishana viwango na nyanja tu.Watoto wasije wakawa matapeli tu
Sawa sawaNdyo 2013
Sawa mkuu, nitahakikisha nafaya hivyoNext time hakikisha unatuamkia kbla ya kuandika uzi...
Sawaπ€
Hiyo GPA inaonesha ulikuwa unaandika namba kwenye Booklet alafu unakusanya tu πBata kwa sehemu yake nililitafuna ingawa kwenye issue za taaluma nilijitahidi sikosi vipindi eeh bhn nilijikwamua hivyo hivyo niorodheshwe kwenye kitabu Cha mahafali ππ
Heshima yako dada mkubwa.2002 jua linazidi kuzama π π π π
Walishafika hao, pitia comments vizuri utawaonaNgoja wazeee waje, unasikia βWakati wewe unafanya mtihani wa la Saba, kuna watu walikuwa wa napiga Jiwe pale Mlimaniβ¦β
Mimi hapo ndyo nilimaliza form 4Mimi 2017π
πππNext time hakikisha unatuamkia kbla ya kuandika uzi...
Sawaπ€
Nikikumbuka nimeshalala mpk kwenye venue ππHiyo GPA inaonesha ulikuwa unaandika namba kwenye Booklet alafu unakusanya tu
Vyema sana1995
2008View attachment 3093104