Sawa nduguKwangu imekuwa muda sana ndugu yangu.
Bado watu wazima wapo wengi tuJf siku hizi imejaa vijana tu... wazee inabidi tutundike dalugaππ
Mimi nafanya mwaka 2030 ambapo itakua mwisho standard six. ππView attachment 3093104
Ikiwa siku ya leo wadogo zetu wapo katika mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi, nawaombea wamalize salama na wafanikiwe kuwapa faraja wazazi wao kwa matokeo mazuri.
Binafsi nilifanya mtihani huu mwaka 2013, share nasi ni mwaka gani ulimaliza elimu ya msingi...
Heshima yako Babu1958 naomba mnitafutie kuni niote moto wengi ni vijukuu wangu
Aaah haina nouma mkuu, πDSM mkuu
Mbona usirias upoWe kuwa siriasi uwaamkie wadogo zako
Eeeeh lazima πΊπΊπΊ bia tamuπAvatar inamaelezo tosha kabisa π
πππ Mkoa hapana ila tarafa nzima ilikuwa na shule moja yenye darasa la saba tulifaulu 3.Najua mzee ulifaulu peke yako mkoa mzima
Daah ππ2012, now nasubir mkando wa psrs
Ni kweli hata mimi nimeshangaa huyu dogo 2013 juziππNgoja waje wale jamaa ambao kitu pekee wako proud nacho ni kuwahi kumaliza shule kabla yako.
Utasikia kumbe tunabishana na watoto humu.
Wanasema umri ni namba tu πNi kweli hata mimi nimeshangaa huyu dogo 2013 juziππ
Means sahivi una watoto wakubwa kabisa mkuuToka nimalize shule hadi sasa ni miaka 24 kama demu anadanga ile ya mwisho mwisho ata msela wake anafikiria kwanza kutuma muamala na kama aliomba ten mesela anatuma nusu.