min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Labda 2000😅Ukweli ni upi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda 2000😅Ukweli ni upi
Kumbe unahisi tu leta udhibitisho 2000 nimekuwa wew🤣🤣🤣🤣Labda 2000😅
😁😁 nimekubali madam ,shkamooooo.Kumbe unahisi tu leta udhibitisho 2000 nimekuwa wew🤣🤣🤣🤣
1972View attachment 3093104
Ikiwa siku ya leo wadogo zetu wapo katika mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi, nawaombea wamalize salama na wafanikiwe kuwapa faraja wazazi wao kwa matokeo mazuri.
Binafsi nilifanya mtihani huu mwaka 2013, share nasi ni mwaka gani ulimaliza elimu ya msingi...
🤣🤣🤣🤣🤣marihaba mambo ndio hayo sasa heshima debe🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😜😁😁 nimekubali madam ,shkamooooo.
Ha haaa tupo hapa tumekuja. Mwaka 1993. Wengine hapa hata wazazi wao hawajazaliwa.Ngoja waje wale jamaa ambao kitu pekee wako proud nacho ni kuwahi kumaliza shule kabla yako.
Utasikia kumbe tunabishana na watoto humu.
Shkamoo dada1981
Hili jina 🤔🤔🤔🤔Miaka kumi nyuma yako ndugu yangu, yaani 2003!
Hakika siku hazisimami.
🤣🤣🤣🤣🤣marihaba mambo ndio hayo sasa heshima debe🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😜
Nimependa ulivyoitoa kwa adabu na kwa upole😁Ume furahia salam eeee😆
Heshima kwako mzee wangu1972
Vyema sana mkuu1998
Nyie vitoto vya 2000 unaweza shangaa mnaanza kubishana nacho embu tusalimie baba zako wa humu ndani😊View attachment 3093104
Ikiwa siku ya leo wadogo zetu wapo katika mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi, nawaombea wamalize salama na wafanikiwe kuwapa faraja wazazi wao kwa matokeo mazuri.
Binafsi nilifanya mtihani huu mwaka 2013, share nasi ni mwaka gani ulimaliza elimu ya msingi...
Shkamoo mzee, japo kubishana ni kawaida ila ni muhimu kuzingatia mipaka na kutunza heshima.Nyie vitoto vya 2000 unaweza shangaa mnaanza kubishana nacho embu tusalimie baba zako wa humu ndani😊
Sahihi mkuu, nitazingatia hiloKila unapoanzisha uzi uwe unaanza shikamoo
Marabaa kijana wangu haujambo mwanangu.Shkamoo mzee, japo kubishana ni kawaida ila ni muhimu kuzingatia mipaka na kutunza heshima.
Sijambo kabisa mzee wanguMarabaa kijana wangu haujambo mwanangu.