Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
- Thread starter
- #301
Hatujapishana sana mkuu, mimi wakati huo nilikuwa darasa la tatuMimi nilifaya mtihani wa darasa la Saba mwaka 2009
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatujapishana sana mkuu, mimi wakati huo nilikuwa darasa la tatuMimi nilifaya mtihani wa darasa la Saba mwaka 2009
Ulijifunza wapi kusoma na kuandika?Sikusoma la saba
Na unajiita mzee wa kazi ngumu 😂😂🙌Nilifanya mtihani Mwaka 2019.
Shikamoo aunt2001 ndio nimefanya mtihani wa darasa l saba
Kama ilikuwa mwezi wa tisa basi mimi nilikuwa sijazaliwa bado2001 ndio nimefanya mtihani wa darasa l saba
Wewe sio muhenga, kuna wajomba humu wamesema walimaliza la saba 1959Mimi 2003 kweli nimuhenga...
Tabata Mtambani enzi hizio....
Mwalimu Kaijage marehem
Achaa uongoKama ilikuwa mwezi wa tisa basi mimi nilikuwa sijazaliwa bado
Mimi nimezaliwa 2001 mwezi wa 11Achaa uongo
Mimi sio aunt mie dada excuse me mwayaShikamoo aunt
Heshima kwako Madam2013 nilikuwa na mimba ya first born wangu....
Vyema sana mkuu2004
Ok ,, Sorry Sis 😅Mimi sio aunt mie dada excuse me mwaya
Unakemea roho ya kuwa mshangazi🤣🤣🤣?Mimi sio aunt mie dada excuse me mwaya
Mimi ni mshangazi na Ngai....asanteeHeshima kwako Madam