MAJIYAPWANI
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 1,726
- 2,691
SureSuala sio kwamba ulifanya au la, suali muhimu ni kwamba sasa uko wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SureSuala sio kwamba ulifanya au la, suali muhimu ni kwamba sasa uko wapi?
Sasa wewe shida nini kwanza mnanichanganya na hizi id zako unanyingiUnakemea roho ya kuwa mshangazi🤣🤣🤣?
1959 hakukuwa na darasa la sabaWewe sio muhenga, kuna wajomba humu wamesema walimaliza la saba 1959
Basi itakuwa nilipangwa kuhusu hilo1959 hakukuwa na darasa la saba
Sijajaliwa kuamini kirahisi namna hio.Amini tu mdogo wangu😊
Siasa za kulazimishana zilikuwaje hizo? Tujuze ambao wakati huo bado tulikuwa hatujitambui2007 nashukuru lowassq enzi hiz akijenga za kata wengine tukapata chance ya kusurvive kudos kikwete elimu yetu ilikua best kabla yakuleta siasa za kulazimishana km tuko north korea.
Sijazaliwa nahawakuwa na mpango hata1959 hakukuwa na darasa la saba
WeweHuyo anayekuchanganya atakua Joanah sio mimi🥲🥲
Ooh mimi mbona nina moja tu ?Wewe
Niliambiwa una id tatuOoh mimi mbona nina moja tu ?
Kama kumbukumbu zangu hazipo sawa ni sahihishwe , mbona maarifa ya jamii lilikuwepo kabla ya 2001Darasa la Majaribio hili.
2001 Mungai alifanya yake akaondoa masomo Kama sita hivi kwenye mtaala akaja na Maarifa ya Jamii.
2006 mkiwa form One mnakutana na Physics with Chemistry ghafla waziri mpya mama Sita akarejesha mtaala wa zamani wa 1997.
Ndiyo darasa lililoanzisha shule za kata kwa wingi nchini mkifundishwa na waalimu waliosomea ualimu kwa miezi miwili tu @ Walimu wa Vodafasta.
Ndiyo darasa la kwanza mlionufaika na mkopo kwa wingi sana baada ya maandamano ya kaka zenu huko vyuoni.
2010 mnaingia form Five mnakutana na mtaala mpya kwenye combination za Arts mwathirika mkubwa akiwa English.
Mnamaliza Chuo Kikuu 2015/2016 mnakutana na zee moja la ajabu likazuia ajira za utumishi wa umma for 4 years.
Licha ya darasa hili kuwa na wanafunzi vipanga wengi kwenye kila category ndiyo darasa la watu waliostruggle sana kupata ajira za utumishi wa umma mpaka Sasa kuna baadhi wapo mtaani wanahangaika na ajira portal in their late thirties.
Mkuu umeichambua ipasavyooDarasa la Majaribio hili.

Eh sijajua ila mie nilifanya science kilim sijui ndio inaandikwa hivyoo . Sayansi , jiographia, hesabu , kingereza, kiswahili, uraia , historiaKama kumbukumbu zangu hazipo sawa ni sahihishwe , mbona maarifa ya jamii lilikuwepo kabla ya 2001
WANANGU WA 2008 GONGA LIKE A GIVE A ❤️ THEN TWENDE SAWA NA HUU U JOBLESS WETU2008
Kamata mwizi men 😅Kama kumbukumbu zangu hazipo sawa ni sahihishwe , mbona maarifa ya jamii lilikuwepo kabla ya 2001
Naombeni msaada, nimeandika maoni yangu kuhusu Mbowe alivyotoa kauli kuhusu Lissu, ila yamekwama, kulikoni? Ni kweli Lissu atahusika?1978, wakati huo ukifaulu kijiji kinafanya sherehe.