Mimi nimesema kuna mtu atakufa tu, hata kama anajifanya yuko imara

Moja ya jambo ambalo Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, amefanikiwa kwa zaidi ya 1000% ni kuwahenyesha manyumbu...........hakika manyumbu yanahenyeka kipindi hiki. Anachofanya Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern, ni kuwa kama mpambanaji wa Kung fu ambapo ambapo miguvu ya adui inatumika kumuumiza adui mwenyewe....the more the miguvu ya adui the more the kuumia adui huyo☺️☺️☺️

Hakika Hadi 2030, minyumbu itakuwa na mwonekano wa kama mtu aliyetapikwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…